WA-UKENYENGE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,918
- 1,233
Poa poa wakuu, ngoja niwasiliane na vijana wakazi watangaze Campus - Bamp! Bamp! Bamp! kiingilio Buku kumi tu, ukija na mwandani wako buku kumi na tano!! Baada ya hapo Welcome First Year!! Na baadae Bwasheee naye apandishe kidogo msosi, si hela ipo bwana!! Anyway, kila kheri!!