johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,725
Mkuu hebu fafanua vizuri ,huyo mwizi aliipata wapi no yako??Wakuu naombeni msaada, niliibiwa simu hivi karibuni kibaya zaidi mwizi namfahamu na picha zake ninazo tatizo ni kwamba nimejaribu kwenda polisi sijapata msaada zaidi ya kufungua faili tu.
Mbaya zaidi sasa hivi huyo mtu ananipigia simu kwa namba yake anadai amewekewa bond kwahiyo kama ninaitaka nimtumie hela ambayo ametoa kwa huyo mwizi ila hataki nimuone nimtumie kwanza, then ndio anipe sasa nataka nipate msaada wa kutrack hiyo simu yake nijue wapi alipo.
nikisema niweke maelezo yote hapa nitajaza kurasa na ww utaboreka kusoma. ila kifupi ni kwamba jamaa nilimaliza nae olevel miaka 7 nyuma. tukawa hatuna mawasiliano ila siku ya tukio nikapokea simu kuuliza ni yy akadai namba yangu amepata facebook then akaja kwangu mchana wake tukala chakula cha mchana pamoja nyumbani kwangu kuna mda around saa kumi hv nkaenda uani kurudi nikakuta mgeni hayupo wife alikuwa amejipumzisha chumbani hakujua nn kinaendelea sebuleni kuja kutahamaki simu yangu haipo na wallet ilikuwa kwa kocha nililokaa nikakuta dollar 300 za office hakuna. so kaiba dollar300 na simu aina ya blu energy 2 thamani ya laki 4....Mkuu hebu fafanua vizuri ,huyo mwizi aliipata wapi no yako??
Sijawai kuona polisi wa ovyo kama hawa wa kwetu,hivi hawalipwi mishahara?nikisema niweke maelezo yote hapa nitajaza kurasa na ww utaboreka kusoma. ila kifupi ni kwamba jamaa nilimaliza nae olevel miaka 7 nyuma. tukawa hatuna mawasiliano ila siku ya tukio nikapokea simu kuuliza ni yy akadai namba yangu amepata facebook then akaja kwangu mchana wake tukala chakula cha mchana pamoja nyumbani kwangu kuna mda around saa kumi hv nkaenda uani kurudi nikakuta mgeni hayupo wife alikuwa amejipumzisha chumbani hakujua nn kinaendelea sebuleni kuja kutahamaki simu yangu haipo na wallet ilikuwa kwa kocha nililokaa nikakuta dollar 300 za office hakuna. so kaiba dollar300 na simu aina ya blu energy 2 thamani ya laki 4....
nikatoa taarifa polisi kasheshe ikawa kwenye ufatiliaji longo longo kibao.. polisi wanatak kiasi cha laki 3 ili wafanye kazi nikaikosa hyo hela.. nikashauri niende tcra wao nao hawatoi huduma hyo nikaamua niachane nayo...
ubaya jamaa ananipigia simu nimtumie hela ili anielekeze wap nitakapoifata.... ndo mana nahitaji kupata app ya location tracker ili niweze ifanya hyo kaz mwenyewe uzuri rb ninayo
we acha tu na hapo nimewarahisishia kazi nina picha za mtuhumiwa namba yake ya simu ipo hewan maeneo anapopatikana.....Sijawai kuona polisi wa ovyo kama hawa wa kwetu,hivi hawalipwi mishahara?
ndo maana nikaomba msaada kama una means nambie nifanyaje. nimekosa supportMtu mnawasiliana unashindwa kumkamata...!
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
sikatai ila hawafanyi kitaifa wanafanya kimaslaiKu track simu nenda polisi wanafanya hizo kazi, simple and clear!!!
mimi nakwambia nilikua na kesi ya kuibiwa simu.nikapeleka kesi yangu polis nikawapa hadi namba ya mwizi ambaye aliweka chip ila walishindwa kunisaidia. nilichokifanya kwa vilw miki mwenyewe mzee wa system hawakumaliza wiki nika arrest mwenyewe ndio nikawafikisha wezi wangu kituoni.Sijawai kuona polisi wa ovyo kama hawa wa kwetu,hivi hawalipwi mishahara?
Kwani simu ikipotea au kuibiwa si inakua na line yake, au inatolewa kwanza, hili swali lako limenifanya nikutafakari sana, umeuliza swali rahisi mno.Mkuu hebu fafanua vizuri ,huyo mwizi aliipata wapi no yako??
ok mkuu unanisaidiaje? naeza pata hyo app au link maana huyu jamaa ananihanisi ananiona kama fala hvmimi nakwambia nilikua na kesi ya kuibiwa simu.nikapeleka kesi yangu polis nikawapa hadi namba ya mwizi ambaye aliweka chip ila walishindwa kunisaidia. nilichokifanya kwa vilw miki mwenyewe mzee wa system hawakumaliza wiki nika arrest mwenyewe ndio nikawafikisha wezi wangu kituoni.
polisi bongo wanazingua sana labda uwebumeingilia interest zao au za wakubwa ndio huwa wanakua active.
hao tcra wamenikatalia hawafanyi hzo kazi. nirud polisiTCRA NA USALAMA WA TAIFA NDO WANAZO HIZO SOFTWARE ZA KUTRACK SIMU CHA MSINGI WEWE TUMIA MBINU MBADALA ZA KUMDAKA MWIZI