Nashukuru nimepata lakini naomba sana nisaidiwe namna ya kuweza ku-download picha kutoka youtube mimi nimejaribu yafuatayo ila nimeshindwa-
1.nime-CLICK-ADD URL
2.Nika Paste URL na nika click OK
3.Nika click START DOWNLOAD
4.Baada ya hapo inaniambia download COMPLETED.
5.Nilipoifuatilia hiyo filamu imefunguka kama HTML document imeandika Watch,htm.
Kutokana na utata huo naomba mwenye kujua kutumia IDM ku-download youtube anisaidie kwa hili ili niweze kuitumia vizuri.
Mkuu Echolima fanya hivi:-
1.fungua youtube then play video unayotaka kupakua, video ikishaanza kucheza itajitokeza nembo ya IDM juu upande wa kulia so click hapo
1.2 Chagua format ya picha utakayo.
2.Itajitokeza popup nyingine kama inavyojionyesha hapo wewe click start download itaanza kupakua.
ukikwama rudi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.