Lini wanawake wa Tanzania watafuata haya maandiko

Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako. Isaya 4:1
Nanukuu .. hii ni ya mwaka 2017 toka FinScope Tanzania
68% of Tanzanian depend on only one income sources, while the rest have more than one. 41% of Tanzanians depends on agricultural activities to meet their expenses, 20% on casual labor, 18% depends on other people and 14% on their own business activities. The 18% who are dependents are mainly women.

Hapo kwenye bold ... ni lini itatokea hawa watu wakakuvamia wewe mtoa post? Bado na bado sana
 
Bado bado ila sio sana .. Siunajua tunakoelekea kuna watu watazidi kua mashoga, wengine watabadili jinsia, wengine wataamua kuasiwa ? Ukichanganya na aina ya maisha yetu tulonao na mazingira na vyakula ?

Tutabaki wachache sana !!
 
Hiyo ktk theology inafahamika kama double prophecy kama ifuatavyo;
1.Ktk Biblia takatifu neno mwanamke linawakilisha kanisa
So,nyakati za mwisho (wakati wa ujio wa yesu kristo) kuna makanisa au madhehebu yatajitambua kuwa yamepotea na hayakuwa yamesimamia kwenye ukweli so,yatamnyenyekea Bwana Yesu na kumuomba "hata kama hatukuwa tumesimamia kwenye ukweli lkn tunaomba tutumie jina lako la Yesu Kristo"

2.Nyakati za mwisho idadi ya wanaume itakuwa ndogo sana kutokana na mabadiliko ya ki-genetic,kwa hyo wanawake kutokana na wingi wao watawashawishi wanaume wawaoe kwa kuwaambia "naomba niitwe kwa jina lako lkn chakula na mavazi nitajitegemea mwenyewe"
 
hahaha "" ..endelea kusubiri kama ambavyo mlokole anavyoamini kuw yesu atarudi "" huku wengine wakifa na hiyo imani " pasipo kuwahi kumshudia akiwa amerudi "..
 
Imeshafika...huoni wadada wanavyopata tabu sana kusaka waume wa kuwaoa...

Wanahama makanisa kutafuta waume...
Haha..yani umenikumbusha rafiki angu mmoja hivi juzi kati kakopa mkopo bank kama mil4 hivi..mil3 kampa bwana ake akamtolee mahari

Hadi sasa nabaki kumshangaa
 
Back
Top Bottom