Ni ukiritimba na roho mbaya tu ya wahadhiri na walimu wa chuo kikuu UDSMTàasisi nyingi BINAFSI hadi sasaivi havijaweza kuzalisha kada ya uprofesa vyenyewe. Kwanini haviwekezi ktk kuzalisha watu wao na badala yake kutegemea wastaafu wa vyuo vikuu vya serikali? Nawasilisha.
Magufuli aliharibu sana. Je , ni kwanini SASAIVI hasa kwenye vikuu vya binafsi kama SAUT wanao wana taaluma wachache sana kwa ngazi ya uprofesa? Nini sababu?Ni ukiritimba na roho mbaya tu ya wahadhiri na walimu wa chuo kikuu UDSM
Zamani chuo kikuu wanaanza watu 200 kozi ya Medicine wanamaliza 2...