Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 722
Miaka yote wateule wa Raisi anaye gombea uchaguzi ndio huwa Returning officers katika chaguzi zote.Namna hii hufanya matokeo kupinduliwa na hawa wateule wa Raisi.
Hata ushindi wa wapinzani ukiwa wazi vipi mara nyingi hucheleweshwa ili kutafuta namna ya kupindua matokeo.
Mara nyingi ili mgombea wa upinzani atangazwe mshindi hulazimu shinikizo kubwa na hata kutokea fujo.Linalo nishingaza naona kama jitihada za kushinikiza jambo hili siyo kubwa sana.
JPM ame liona hilo ndiyo ame amua kuweka makada hasa chama ili fasta aje atangazwe mshindi.maana hawa wakurugenzi alio wateua ndio wanao andaa uchaguzi majimboni na kutangaza mshindi wa ubunge na hata udiwani watendaji wa kata ndio hutangaza mshindi huku wakiwa ni wajiliwa wa huyu kada wa ccm mkurugenzi.
Uchaguzi wa serikali za mitaa ndio usiseme maana ni TAMISEMI husimamia ndiyo maana huwa kata wagombea wa upinzani wanakatwa kumuacha wa ccm akipita bila kupingwa.
Sasa ifike mahali itoshe dhuluma UKAWA fanyeni shinikizo kubwa uwanja uwe sawa ndipo mshindane