officialstawa
Member
- Sep 30, 2016
- 95
- 18
Jamani msaada kwa anaejua tarehe ya kuripoti chuoni Kleruu Iringa.
Asanteni.
Asanteni.
Januari!
sijajua lakini mara nyingi ni kabla ya nusu ya kwanza ya mwezi kwisha!pia ingia NACTE kwenye ukurasa wa Kleruu kuna namba pale wapigie chuo husikatarehe ngap kama unajua
sijajua lakini mara nyingi ni kabla ya nusu ya kwanza ya mwezi kwisha!pia ingia NACTE kwenye ukurasa wa Kleruu kuna namba pale wapigie chuo husika