SPY CATCHER
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 285
- 187
Kufuatilia taarifa zilizoandikwa na gazeti ambalo limekuwa likimpiga vita Dr Dr Radhani Dau laudaku la Dira la leo, ambalo pia ni gazeti kipenzi la wanajiita ma GREAT THINKERS wa Jamiiforums,
Nashnagaa kuona hamjawahimiza wamiliki watu wa hili gazeti la Udaku na Mike Ashley watuleteee share and ownership transfer certificate kuonyesha lini Mike Ashley na Dr Ramadhani Dau walimilikishana hiyo Klabu ya UK na kama Dr Dau alihusika kusajili na kuzaa wachezaji kama akina Papa Diop, Demba Ba, na ufukuzwaji wa kocha Kevin Keegan na kama Dr Dau anahusika kwenye issue ya Alan shearer na consortium iliyotaka kununua NewcastleUnited.
Pia itapendeza kama gazeti la Dira linaweza kuthibitisha kuw Dr Dau alihusika kwenye kubadilisha jina la uwanja wa Newcastle toka Sports DIRECT kwenda DR RAMADHANI DAU STADIUM pale St James Park.