Lini MFANYABIASHARA akawa MPENDA HAKI?

Nyami2010

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
227
50
Ufisadi katika nchi hii unaonekana zaidi miongoni mwa wanaojifanya ni wapenda haki huku wakiwa ni wafanyabiashara wakuu. Tazama kinachoitafuna CCM! Biashara+Siasa!

Swali moja dogo, ni lini MFANYABIASHARA ATAACHA KULENGA KUPATA FAIDA awe mpigania haki? Mfanyabiashara yeyote anatazama returns kwa maana ya FAIDA.

Sina nia ya kumsema vibaya mtu yeyote, lakini hayo magari yaliyouziwa CHADEMA ukweli yametoa picha tofauti na ilivyotegemewa miongoni mwa wapiganaji...............Hii yote ni kodi ya mtanzania....

Hii nchi inahitaji SALA na DUA za PEKEE.................maana wote ni wajanja wajanja tu..........
 
Back
Top Bottom