RUV ACTVIST.
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 472
- 110
Najiuliza tu....hamjui madhara ya kupanda chuki miongoni mwa watanzania
Kwa kutuita MaCCM ndio unapanda chukiNajiuliza tu....hamjui madhara ya kupanda chuki miongoni mwa watanzania
Wewe bangi zinakusumbua. Ila kwenye akili wanajua umuhimu wa CCMCcm wameishiwa ilichobaki Ni kutumia siasa za kizamani gawanya utawale
Ndio anachofanya Spika Ndugai "Divide and Rule". Na MaDC wa Ubungo, Hai na Arumeru.Ccm wameishiwa ilichobaki Ni kutumia siasa za kizamani gawanya utawale
Hapa zinazungumzwa chuki, sio umuhimu!!! Unapajua Kibiti?Wewe bangi zinakusumbua. Ila kwenye akili wanajua umuhimu wa CCM
Hauoni wala kusikia wanakifanya?? Au ndo walewale??Chuki gani?
Mnakera hamstahiri hata jina moja la heshima......Kwa kutuita MaCCM ndio unapanda chuki
Mbona hata viongozi wanawa address Polisi kama mapolisi? Utasikia wanasema tens hata bungeni "mapolisi wetu wanafanya kazi iliyotukuka"Kwa kutuita MaCCM ndio unapanda chuki
Wewe bangi zinakusumbua. Ila kwenye akili wanajua umuhimu wa CCM
CCM itapigiwa kura na baba yako, mkeo, mama na Dada zako na itaendelea kutawalaUmuhimu wa kuingia mikataba ya kilaghai na kinyonyaji.
Wewe bangi zinakusumbua. Ila kwenye akili wanajua umuhimu wa CCM
CCM itapigiwa kura na baba yako, mkeo, mama na Dada zako na itaendelea kutawala
Hawajui yanayotokea kibiti yamesababishwa na ladevide and ruleNdio anachofanya Spika Ndugai "Divide and Rule". Na MaDC wa Ubungo, Hai na Arumeru.
CCM itapigiwa kura na baba yako, mkeo, mama na Dada zako na itaendelea kutawala