Inanambo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,063
- 2,872
Weee hadi Spika anasema Majimbo ya Wapinzani marufuku kupeleka Maendeleo. Wale wa Chama Tawala tunaoishi huko hali zetu sijui zitakuwaje!!!Hawajui yanayotokea kibiti yamesababishwa na ladevide and rule