Linganisha picha ya UKAWA na CCM Mbeya jijini

Joined
Aug 12, 2015
Posts
56
Reaction score
23
Hapa ni picha mbili za wakati Ukawa wakimtambulisha mgombea wao Lowasa, Mbeya mjini na picha nyingine ni za ccm kwenye mkutano wao mkuu wa kampeni wa magufuli na wasanii yapi ni maoni yako?
 

Attachments

  • 1440800934102.jpg
    123 KB · Views: 5,932
  • 1440800952439.jpg
    76.1 KB · Views: 5,481
  • 1440800974118.jpg
    101.9 KB · Views: 4,560
  • 1440800995187.jpg
    74.8 KB · Views: 4,409
  • 1440801015776.jpg
    80.9 KB · Views: 4,256
  • 1440801064326.jpg
    62.8 KB · Views: 4,210
Shida yetu watz tunashindwa kutofautisha magufuli anaenda kila wilaya lakini lowassa walosombwa iringa njombe rukwa na wilaya zote za mbeya... acheni kujitekenya na kucheka wenyewe kama uhakika upo kwanini mna mashaka... oct 25 ndo kila kitu... tuache kuigiza
 
Ccm huwa wanatengeneza mafuriko kwa kusomba watu kwa maroli , na hasa wa vijijini na ndio maana lazima wawe wamepika wali siku ya mikutano yao ili kuwalisha watu walio wasomba kutoka mbali😱
 
Yaani hapo umelinganisha lowassa akiwa mbeya mjini na magufuri akiwa kyela,,, sasa hiyo ni wilaya kyela,,, subiri mziki wa magufuri mbeya mjini,, halafu lazima ujuwe lowassa alikusanya kuanzia tunduma, momba,kyela nk wakaja mjini,,, ila jembe huwa alikusanyi linawafuata na kuwajaza hukohuko wilayani,,, HAPA KAZI TU!!!!
 
Alafu hao wa CCM wamezolewa na Malori, na wa UKAWA wameenda wanyewe.
Nani kakudanganya? Gari zilikuwa zinasomba watu toka Iringa, Njombe, Songea na Mbeya wilaya zote kwenda kumsikiliza LOWASA. Hebu punguzeni MAHABA ya kijinga kwa mamvi.
 

Weka picha za kuwasomba ukawa

Mimi naweka picha za kuwasomba ccm
 
Hapa ni picha mbili za wakati Ukawa wakimtambulisha mgombea wao Lowasa, Mbeya mjini na picha nyingine ni za ccm kwenye mkutano wao mkuu wa kampeni wa magufuli na wasanii yapi ni maoni yako?

Maoni yangu ni: MPIGA PICHA KWA KWELI ALIJITAHIDI LAKINI PIA NADHANI CAMERA YAKE INA UBORA SANA. Asante.
 
 
Reactions: snn
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…