Ni kulinganisha tu, that is all am saying,Kwahiyo unataka kusema nini mkuu..??
AU umesahau kuwa hapa mtaani kuna wakazi wa Osterbay na
manzese kwa mfuga mbwa....
pai kuna wkazi wa masaki na kwa mtogole,.
Makao makuu imehamia ngome, Kawe. Kino Mzee haendi kumeka uswahilini sana...
Makao makuu imehamia ngome, Kawe. Kino Mzee haendi kumeka uswahilini sana...
Mkuu, jiji kuu la Dar es Salaam lote liko chini ya UKAWA, sasa hivi ni mwendo wa kujigawia viwanja tu. Enzi zenu za umeya wa Jiji zimeisha, labda huko huko ChatoNi kulinganisha tu, that is all am saying,
Makao makuu imehamia ngome, Kawe. Kino Mzee haendi kumeka uswahilini sana...
Makao makuu imehamia ngome, Kawe. Kino Mzee haendi kumeka uswahilini sana...
Kumbe hayo ndio mabadiliko. Aisee, si bora CCM kuliko FISADI. Haya jigawieni viwanja halafu subiri MUZIKI WA Rais Magufuli, NDIO MTAISOMA NAMBA.Mkuu, jiji kuu la Dar es Salaam lote liko chini ya UKAWA, sasa hivi ni mwendo wa kujigawia viwanja tu. Enzi zenu za umeya wa Jiji zimeisha, labda huko huko Chato
Hiyo ofisini ya CCM kuna sehemu zimepangishwa au place zote ni ofisi?