Taifa letu limepitia mengi sana ndani ya hii miaka kumi.
Mwaka huo wakati hii thread inaanzishwa ungemuuliza mtu yeyote kwamba miaka michache ijayo taifa letu litatawaliwa na Idd Amin wa kike asingekuelewa hata unaongea nini.
Hawa Jamaa lazima habari yote ilikuwa kila siku wanamjadili Jiwe.....
Maana hii sehemu ilikuwa ofisi, wahuni walikuwa wanakuja kila siku kupiga soga....
Hawa Jamaa lazima habari yote ilikuwa kila siku wanamjadili Jiwe.....
Maana hii sehemu ilikuwa ofisi, wahuni walikuwa wanakuja kila siku kupiga soga....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.