Linganisha Kabla ya Magufuli na Baada ya Magufuli!

Linganisha Kabla ya Magufuli na Baada ya Magufuli!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Halafu kuna mtu anakuja na insha ndeefuuu sijui sheirai haikufwatwa, mara sijui Bunge limehongwa, tupa kule cha muhimu matokeo tu, mambo yenu ya Katiba msituletee hapa sisi tunataka Amri TU!!



Kabla ya Magufuli!


hospitali%2Bone.JPG



hospitali%2B2.jpg



Baada ya Magufuli (ndani ya wiki Moja madarakani!)


hospitali%2B3.jpg


 
Nothing more ni usanii baada ya kung'oa mizizi anakata matawi hahaha bongo hatuna viongz wakwel
 
Nothing more ni usanii baada ya kung'oa mizizi anakata matawi hahaha bongo hatuna viongz wakwel

Yaani ww ni kiazi kilichooza kabisa siasa za siku hizi kila mtu anaona anaweza ahahhahahahhaahhahaaaaaaaaa
 
ivi huko hospitalin dawa ni bure au?

Magufuri anajenga nchi kwanza na kurudisha maadili ya kiuongozi yaliyopotea kwa muda mrefu na baada ya hapo tutegemee kuvuna matunda..........

Hata wakenya wamemilitambua hilo....!
 

Attachments

  • 1448559930957.jpg
    1448559930957.jpg
    57.1 KB · Views: 314
Mh magufuli wa mwezi m1,aliyoyafanya kwng mm yanazidi miaka 10 ya mheshimiwa,,,,,,,,,
 
Nothing more ni usanii baada ya kung'oa mizizi anakata matawi hahaha bongo hatuna viongz wakwel

Hata kwenye filamu kubwa la maadui ndio linakufa mwisho wa picha. Lazima aanze kutumbua majipu madogo kwanza, halafu ndio makubwa. ALE SELEMA...
 
Bado ni mapema mno kujua.Kwa sasa Magufuli ndio anafaidika kwa kupata sifa nyingi.Maisha ya mwananchi wa kawaida bado haya jaboreka
 
Back
Top Bottom