Line za simu

Line za simu

Joined
Mar 11, 2015
Posts
29
Reaction score
17
Tujadili hili swala LA kusajiki upya line jee muwalio toa utatosha kweli miningependa selikari wange Fanya kama walivyo Fanya zoezi LA kujiandikisha kwenyedaftari LA kudula kula nahivi vitambulisho vya taifa iweivyo ilikuwafikia watanzania wote kwa haraka bila usumbufu tujadiliane kuhusu hili twende sawa by Fundy samwely
 
Rais kalisogeza mbele mpaka DES 31 NIDA wametakiwa kila mtanzania mwenyekiti sifa ya kupata kitambulisho Cha utaifa apewe ndo walete ajenda yao ya kusajili line ya Simu....
 
Hivi inakuaje mkuu wa mamlaka hajiuzulu kama agizo lake linawekwa kando na aliyempa dhamana? Ina maana hakujiridhisha ni watanzania wangapi wana hivyo vitambulisho au alitaka kupima reaction ya wananchi ? Muda Wenyewe Ni Mfupi mbona wananchi wengi wengi wangefungiwa kupata huduma kama wangeazimia kutekeleza kusudio lao. Mapato Yangeshuka Hasa Makampuni Ya Simu. Halafu Kusajili Laini Moja Itakuwa Ni Kero ya mawasiliano kwani makampuni yanatofautiana coverage network maeneo mengi nchini hususani vijijini. Ndio maana watu wanasajili laini zaidi ya moja ili wawe na uhakika wa mawasiliano popote nchini hususani upatikanaji wa internet. Kusajili laini moja itakuwa kero, wananchi wajisali kwenye mitandao ya simu zaidi ya mmoja wanakopata huduma wazihitajizo kwa maendeleo yao
 
Huo uandishi wako mkuu duuh,uwe una hariri kwanza kabla hujapost...... Maendeleo Hayana Chama
 
Tujadili hili swala LA kusajiki upya line jee muwalio toa utatosha kweli miningependa selikari wange Fanya kama walivyo Fanya zoezi LA kujiandikisha kwenyedaftari LA kudula kula nahivi vitambulisho vya taifa iweivyo ilikuwafikia watanzania wote kwa haraka bila usumbufu tujadiliane kuhusu hili twende sawa by Fundy samwely
Wewe kweli "Fundy samwely"
 
Ujinga tu...

Unazuiaje mtu kumiliki laini mbili za mtandao mmoja ilihali kasajiliwa kwa kitambulisho genuine kama national ID...
 
huu uandishi wa mada yako umenifanya mpk kichwa kinaniuma!
 
Viongozi wa awamu ya tano wanashindana kutoa matamko

O cabesa não regula,o corpo é que pago
 
Hivi inakuaje mkuu wa mamlaka hajiuzulu kama agizo lake linawekwa kando na aliyempa dhamana? Ina maana hakujiridhisha ni watanzania wangapi wana hivyo vitambulisho au alitaka kupima reaction ya wananchi ? Muda Wenyewe Ni Mfupi mbona wananchi wengi wengi wangefungiwa kupata huduma kama wangeazimia kutekeleza kusudio lao. Mapato Yangeshuka Hasa Makampuni Ya Simu. Halafu Kusajili Laini Moja Itakuwa Ni Kero ya mawasiliano kwani makampuni yanatofautiana coverage network maeneo mengi nchini hususani vijijini. Ndio maana watu wanasajili laini zaidi ya moja ili wawe na uhakika wa mawasiliano popote nchini hususani upatikanaji wa internet. Kusajili laini moja itakuwa kero, wananchi wajisali kwenye mitandao ya simu zaidi ya mmoja wanakopata huduma wazihitajizo kwa maendeleo yao
...Naomba kuongeza hapo Mkuu. Hivi hakuna aliyekuwa na busara ndogo tu ya kuona kuwa muda ulikuwa mchache sana na wananchi wengi walikuwa hawajapata vitambulisho vya Utaifa wala namba zake, hadi raisi alione hilo na kulitolea tamko?
Sasa hawa wengine wanafanya nini maofisini??
...au kuna mchezo tusioujua unachezwa???
 
Hii ni Nchi ya Matamko na Kukurupuka tu...!!

Raisi wetu pekee ndie mwenye kujua kero za Wananchi.
 
Kalisogeza mbele kivp ?hiyo Mei mosi ilikuwa ni tarehe ya kuanza na sio deadline :deadline ilikuwa haijatangazwa rasmi ngawa siku 4 zilizopita nilisikia ktk radio moja wanasema kuwa deadline itakuwa December

Back
Top Bottom