MartinCoder
JF-Expert Member
- Feb 20, 2018
- 700
- 630
Inshort Rais hajaongeza chochote sema tu huenda hakuelewa vzurKalisogeza mbele kivp ?hiyo Mei mosi ilikuwa ni tarehe ya kuanza na sio deadline :deadline ilikuwa haijatangazwa rasmi ngawa siku 4 zilizopita nilisikia ktk radio moja wanasema kuwa deadline itakuwa December