Line za 4G za voda...

Line za 4G za voda...

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
16,489
Reaction score
38,390
Wakuu laini yangu ni 3g hivyo nimejaribu kuswap ili nipate 4g, ila cha ajabu nimejaribu mara mbili kuswap na swap line zimeandikwa 4g lite... Ila nikiweka kwenye simu bado napata 3g...

Wakuu wapi naweza swap nipate 4g au kuna namna ya ziada inafanyika?
 
Simu yako haisapoti LTE
 
Eneo ulilopo ndio majanga na 4G [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me nahisi simu yako itakuwa inasapoti 4G ya line moja....kwahyo kwa uhakiki unaweza ukaenda settings then uiswap 4G katika line nyengine kama simu yako ni dual lines
Wakuu laini yangu ni 3g hivyo nimejaribu kuswap ili nipate 4g, ila cha ajabu nimejaribu mara mbili kuswap na swap line zimeandikwa 4g lite... Ila nikiweka kwenye simu bado napata 3g...

Wakuu wapi naweza swap nipate 4g au kuna namna ya ziada inafanyika?

Sent using Samsung Galaxy
 
Maeneo ambayo voda ina 4g angalia kama eneo lako lipo
vodacomtanzania-20190208-0001.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom