Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,285
- 2,595
Wanakumbushia [emoji2][emoji2]Huu utaratibu mbona ulikuwepo au wanakumbushia?
Wanawakumbushia [emoji122][emoji122][emoji122]Kwamba huu ni utaratibu mpya ?
Hii issue tangia kitambo na sababu kuu ni kwamba kila Namba mitandao itazilipia kuzisajili hivyo kukaa bila kutumika ni hasara kwako hence ikikaa dormant wanai-recycle na kuirudisha sokoni
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]deni linaondolewaIkiwa na deni hawafuti!
Wanakumbushia Upo Muda SanaHuu utaratibu mbona ulikuwepo au wanakumbushia?
Never ever ๐[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]deni linaondolewa
Wanafuta hatakama unadeni, kuna mtandao wananidai 80 elfu niliondoka mwaka niliporudi tayari sim card anamiliki mtu mwengine.Ikiwa na deni hawafuti!
Afadhali ๐Wanafuta hatakama unadeni, kuna mtandao wananidai 80 elfu niliondoka mwaka niliporudi tayari anamiliki mtu mwengine.