Line kama laini haiwezi kuwasha GPS yako labda incase simu yako "Hardware" ina respond negatively with Airtel simcard.
Solution ya kwanza nikujaribu na laini nyingine ya airtel then uone kama itawaka, ikiwaka maybe jaribu na mawazo ya wengine.
hili tatizo ninalo kwenye tecno h5 yangu
Unakumbana nalo ukiwa na line ya Airtel au?
yeah hasa nikiwasha data inajiwasha hata u switch off vipi linajirudia
Me ndio nakereka hadi basi, nimetafuta ufumbuzi kwenye forums kadhaa bado naona bila bila , ila bado sijajua tatizo ni nini hasa
tusubiri wajuzi watakuja kutujuza so nalazimika kuzima data kila saa kinanikera kile ki icon chake kinachokuja pale juu sina jinsi na pia sio mtaalam sana wa sim hata sjui nifanyaje.
Nadhani wataalamu wa hapa jf watatupatia ufumbuzi! Ubaya wa gps kujiwasha ni kwamba ina drain battery hatari
Mkuu, kweli hili tatizo lipo, mi wiki jana line yangu ya airtel ilikuwa inasumbua nikaenda pale makao makuu, wakanipa nyingine ndio balaa likaanza hata bila kuwasha mobile data, au wi-fi, na Gps inajiwasha tu ukiweka off baada ya sekunde chache tena zinajiwasha, nilibofya kila sehemu, nikachoka ikabidi niache tu, kesho yake jioni nikaanza tena, mala nikabonyeza kwenye location service, nika zi untick zote, mala kitu hichooooo!!! wakati jana yake nilifanya hivyo hata zile tick zilikuwa zinagoma kutoka!! hadi sasa kitu kiko powa, hebu jaribu kufanya hivyo,Habari wakuu, nimenunua line ya Airtel nakuitumia kwenye simu yangi aina ya Sony Experia Z1 kila napowasha data GPS inajiwasha nikijaribu kuizima baada ya sekunde chache inajiwasha tena.
Nimejaribu kutrace Kama ukuna apps zinazo access GPS na kukuta hamna na kugundua ni mtandao wa Airtel unaosababisha hiyo hali kwani nikiweka line ya voda au tigo hilo tatizo linakuwa halipo msaada wenu nifanye niwezekutumia line ya Airtel bila kukumbana na tatizo ili
kumbee hili umenijuza leo nilijua ukiactivate data muda wote charge hupungua kumbe hata GPS ngoja tuwe na subra
Angalia kwenye location service, kama kwenye USE GPS SATELLITES kuna tick iondoe tick tatizo litakuwa solved, mi nilisumbuka sana ila kwa kufanya hivyo ndio tatizo likaisha.
Nadhani wataalamu wa hapa jf watatupatia ufumbuzi! Ubaya wa gps kujiwasha ni kwamba ina drain battery hatari
Habari wakuu, nimenunua line ya Airtel nakuitumia kwenye simu yangi aina ya Sony Experia Z1 kila napowasha data GPS inajiwasha nikijaribu kuizima baada ya sekunde chache inajiwasha tena.
Nimejaribu kutrace Kama ukuna apps zinazo access GPS na kukuta hamna na kugundua ni mtandao wa Airtel unaosababisha hiyo hali kwani nikiweka line ya voda au tigo hilo tatizo linakuwa halipo msaada wenu nifanye niwezekutumia line ya Airtel bila kukumbana na tatizo ili
hili tatizo ninalo kwenye tecno h5 yangu
kumbee hili umenijuza leo nilijua ukiactivate data muda wote charge hupungua kumbe hata GPS ngoja tuwe na subra
Weka picha ya hiyo sim yako ya tecno h5.
Ukizima data na gps inazima.