Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,502
- 9,282
Dunia haiwezi kuisha..we unadhani haya yalianza leo..kama unasoma maandiko nadhani unakumbuka ishu za sodoma na gomora..ki ufupi hakuna jipya chini ya jua..chamsingi shikilia imani yako.Kila nikikutana na matukio kama haya mtandaoni nabaki kuamin umri wa dunia unakaribia kuisha.
Hii kitu inasononesha lakini lakini lakini... tumwachie munguNawasubiri tu hapa haki
IpoHivi Tanzania tuna jela za watoto wadogo kama huyu?
Halafu sijui mtoto mdogo akibaka adhabu yake ni ipi!
Jamaii yetu imepinda hivi sasa, kuna mizee mingine tena ina upara au mvi kama ishara ya busara lakini inashabikia vitu vya kipumbavu kabisa mitaani, kuna haja ya wazee mtaani kuanza kushughulikiwa wao, hawa watoto si bure kuna mijitu ya hovyo nyuma yaoMtoto analaumiwa na jamii ambayo imekosa maadili iliyopelekea kufanya alichokifanya.
Viboko 24 kumi na mbili anaingia kumi na mbili anatoka. Kijana asipo angalia anaweza pishana na chura hivi hiviHalafu sijui mtoto mdogo akibaka adhabu yake ni ipi!
Anafungwa kwani?Viboko 24 kumi na mbili anaingia kumi na mbili anatoka. Kijana asipo angalia anaweza pishana na chura hivi hivi
Pole kwa waathirika na familia yake. Lakini, huyo kamanda,Bw. Foka Dinya nae jina lake jamani. Hilo Dinya ni balaa sana.Mwanafunzi (13) wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Maguja, Wilaya ya Ruangwa anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumlawiti mwanafunzi mwenzake wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi Likangara.
Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani humo, Foka Dinya alisema mtuhumiwa anadaiwa kufanya kitendo hicho Februari 5 saa tano mchana.
Alisema kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo kumetokana na baba wa mtoto anayedaiwa kufanyiwa kitendo hicho kumbaini kijana wake akiwa amekosa uchangamfu na kutembea kwa shida.
Dinya Alisema mtoto huyo alipouliza akaeleza kile alichofanyiwa na mwenzake.
Alisema kutokana na maelezo ya baba wa mlalamikaji, alilazimika kwenda kutoa taarifa kituo cha polisi kisha mtuhumiwa akakamatwa na kufanyiwa mahojiano.
Alisema mtuhumiwa huyo atafikishwa mahakamani baada ya kukamilika kwa taratibu za kiupelelezi.
Dah so sadMwanafunzi (13) wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Maguja, Wilaya ya Ruangwa anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumlawiti mwanafunzi mwenzake wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi Likangara.