Zomea kabisa hizo takatakaMbunge wa Jimbo la Nachingwea, Lindi, Amandus Chinguile ameonja joto la jiwe baada ya kuzomewa na wananchi wa kata ya Naipanga, alipokuwa akifanya mkutano wa hadhara. Wananchi wamesikika wakisema “tumekuchoka na hatukutaki, ondoka zako”.
Amandus Chinguile ni mbunge wa Magufuli hakutokana na kura za umma. Mgombea wa CHADEMA jimbo la Nachingwea, Dkt. Mahadhi Mmoto aliporwa ushindi wake na kutangazwa Amandus kimagendo.
27.10.2020, mgombea Ubunge Jimbo la Nachingwea 2020 CHADEMA, Dkt. Mahadhi Mmoto, alikamatwa (siku moja kabla ya kupiga kura) akiwa na wenzake kumi na moja wakapelekwa Mahabusu.
28.10.2020, Dkt. Mahadhi Mmoto, akatolewa mahabusu na Polisi Mahabusu (Mmoto pekee yake) akaenda kupiga Kura na kurudishwa Mahabusu. Wenzake 11 hawakupiga kura.
29.10.2020, akatolewa mahabusu na kupelekwa kwenye majumuisho ya kura. Siku hiyo wote wakasafirishwa na kupelekwa Lindi walifunguliwa kesi wakidaiwa kuharibu Mali za Serikali.
29.10.2020, Dkt. Mahadhi Mmoto akiwa gerezani., Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Nachingwea, Amandus Chingule akapewa kura 36,761 na Dkt. Mahadhi Mmoto CHADEMA akapewa kura 27,801.
Hadi siku Magufuli anaapishwa kuwa Rais wa Tanzani, Dkt. Mahadhi Mmoto na wenzake 11 walikuwa gereza la Lindi wamenyimwa dhamana kwa tuhuma za kuharibu mali za Serikali na CCM.
Leo mbunge wa Magufuli anaonja joto ya jiwe kwa kuzomewa na wananchi na wakisema hawamtaki wamemchoka. Hii inatukumbusha kwamba dhulma siyo riziki. Mganga anafariki.
Piga ua kabisaSaaafi sana sana! Kuna Mkuu wa kituo nae kalambwa bakora na wananchi
But was inevitable tooHiyo "Magufuli" was unnecessary though.
Zomea kabisa hiyo mikitu😂Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Lindi, Amandus Chinguile ameonja joto la jiwe baada ya kuzomewa na wananchi wa kata ya Naipanga, alipokuwa akifanya mkutano wa hadhara. Wananchi wamesikika wakisema “tumekuchoka na hatukutaki, ondoka zako”.
Amandus Chinguile ni mbunge wa Magufuli hakutokana na kura za umma. Mgombea wa CHADEMA jimbo la Nachingwea, Dkt. Mahadhi Mmoto aliporwa ushindi wake na kutangazwa Amandus kimagendo.
27.10.2020, mgombea Ubunge Jimbo la Nachingwea 2020 CHADEMA, Dkt. Mahadhi Mmoto, alikamatwa (siku moja kabla ya kupiga kura) akiwa na wenzake kumi na moja wakapelekwa Mahabusu.
28.10.2020, Dkt. Mahadhi Mmoto, akatolewa mahabusu na Polisi Mahabusu (Mmoto pekee yake) akaenda kupiga Kura na kurudishwa Mahabusu. Wenzake 11 hawakupiga kura.
29.10.2020, akatolewa mahabusu na kupelekwa kwenye majumuisho ya kura. Siku hiyo wote wakasafirishwa na kupelekwa Lindi walifunguliwa kesi wakidaiwa kuharibu Mali za Serikali.
29.10.2020, Dkt. Mahadhi Mmoto akiwa gerezani., Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Nachingwea, Amandus Chingule akapewa kura 36,761 na Dkt. Mahadhi Mmoto CHADEMA akapewa kura 27,801.
Hadi siku Magufuli anaapishwa kuwa Rais wa Tanzani, Dkt. Mahadhi Mmoto na wenzake 11 walikuwa gereza la Lindi wzomeaamenyimwa dhamana kwa tuhuma za kuharibu mali za Serikali na CCM.
Leo mbunge wa Magufuli anaonja joto ya jiwe kwa kuzomewa na wananchi na wakisema hawamtaki wamemchoka. Hii inatukumbusha kwamba dhulma siyo riziki. Mganga anafariki.
Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Lindi, Amandus Chinguile ameonja joto la jiwe baada ya kuzomewa na wananchi wa kata ya Naipanga, alipokuwa akifanya mkutano wa hadhara. Wananchi wamesikika wakisema “tumekuchoka na hatukutaki, ondoka zako”.
Amandus Chinguile ni mbunge wa Magufuli hakutokana na kura za umma. Mgombea wa CHADEMA jimbo la Nachingwea, Dkt. Mahadhi Mmoto aliporwa ushindi wake na kutangazwa Amandus kimagendo.
27.10.2020, mgombea Ubunge Jimbo la Nachingwea 2020 CHADEMA, Dkt. Mahadhi Mmoto, alikamatwa (siku moja kabla ya kupiga kura) akiwa na wenzake kumi na moja wakapelekwa Mahabusu.
28.10.2020, Dkt. Mahadhi Mmoto, akatolewa mahabusu na Polisi Mahabusu (Mmoto pekee yake) akaenda kupiga Kura na kurudishwa Mahabusu. Wenzake 11 hawakupiga kura.
29.10.2020, akatolewa mahabusu na kupelekwa kwenye majumuisho ya kura. Siku hiyo wote wakasafirishwa na kupelekwa Lindi walifunguliwa kesi wakidaiwa kuharibu Mali za Serikali.
29.10.2020, Dkt. Mahadhi Mmoto akiwa gerezani., Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Nachingwea, Amandus Chingule akapewa kura 36,761 na Dkt. Mahadhi Mmoto CHADEMA akapewa kura 27,801.
Hadi siku Magufuli anaapishwa kuwa Rais wa Tanzani, Dkt. Mahadhi Mmoto na wenzake 11 walikuwa gereza la Lindi wamenyimwa dhamana kwa tuhuma za kuharibu mali za Serikali na CCM.
Leo mbunge wa Magufuli anaonja joto ya jiwe kwa kuzomewa na wananchi na wakisema hawamtaki wamemchoka. Hii inatukumbusha kwamba dhulma siyo riziki. Mganga anafariki.
Wabunge wengi wa kauli mbiu ya.... Nireteeni gwajima hawatorudi bungeni!!Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Lindi, Amandus Chinguile ameonja joto la jiwe baada ya kuzomewa na wananchi wa kata ya Naipanga, alipokuwa akifanya mkutano wa hadhara. Wananchi wamesikika wakisema “tumekuchoka na hatukutaki, ondoka zako”.
Amandus Chinguile ni mbunge wa Magufuli hakutokana na kura za umma. Mgombea wa CHADEMA jimbo la Nachingwea, Dkt. Mahadhi Mmoto aliporwa ushindi wake na kutangazwa Amandus kimagendo.
27.10.2020, mgombea Ubunge Jimbo la Nachingwea 2020 CHADEMA, Dkt. Mahadhi Mmoto, alikamatwa (siku moja kabla ya kupiga kura) akiwa na wenzake kumi na moja wakapelekwa Mahabusu.
28.10.2020, Dkt. Mahadhi Mmoto, akatolewa mahabusu na Polisi Mahabusu (Mmoto pekee yake) akaenda kupiga Kura na kurudishwa Mahabusu. Wenzake 11 hawakupiga kura.
29.10.2020, akatolewa mahabusu na kupelekwa kwenye majumuisho ya kura. Siku hiyo wote wakasafirishwa na kupelekwa Lindi walifunguliwa kesi wakidaiwa kuharibu Mali za Serikali.
29.10.2020, Dkt. Mahadhi Mmoto akiwa gerezani., Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Nachingwea, Amandus Chingule akapewa kura 36,761 na Dkt. Mahadhi Mmoto CHADEMA akapewa kura 27,801.
Hadi siku Magufuli anaapishwa kuwa Rais wa Tanzani, Dkt. Mahadhi Mmoto na wenzake 11 walikuwa gereza la Lindi wamenyimwa dhamana kwa tuhuma za kuharibu mali za Serikali na CCM.
Leo mbunge wa Magufuli anaonja joto ya jiwe kwa kuzomewa na wananchi na wakisema hawamtaki wamemchoka. Hii inatukumbusha kwamba dhulma siyo riziki. Mganga anafariki.
Lindi wakati wa Uchaguzi chini ya Magufuli walifanyiwa vurugu sana viongozi na wananchi wafuasi wa ACTMbunge wa Jimbo la Nachingwea, Lindi, Amandus Chinguile ameonja joto la jiwe baada ya kuzomewa na wananchi wa kata ya Naipanga, alipokuwa akifanya mkutano wa hadhara. Wananchi wamesikika wakisema “tumekuchoka na hatukutaki, ondoka zako”.
Amandus Chinguile ni mbunge wa Magufuli hakutokana na kura za umma. Mgombea wa CHADEMA jimbo la Nachingwea, Dkt. Mahadhi Mmoto aliporwa ushindi wake na kutangazwa Amandus kimagendo.
27.10.2020, mgombea Ubunge Jimbo la Nachingwea 2020 CHADEMA, Dkt. Mahadhi Mmoto, alikamatwa (siku moja kabla ya kupiga kura) akiwa na wenzake kumi na moja wakapelekwa Mahabusu.
28.10.2020, Dkt. Mahadhi Mmoto, akatolewa mahabusu na Polisi Mahabusu (Mmoto pekee yake) akaenda kupiga Kura na kurudishwa Mahabusu. Wenzake 11 hawakupiga kura.
29.10.2020, akatolewa mahabusu na kupelekwa kwenye majumuisho ya kura. Siku hiyo wote wakasafirishwa na kupelekwa Lindi walifunguliwa kesi wakidaiwa kuharibu Mali za Serikali.
29.10.2020, Dkt. Mahadhi Mmoto akiwa gerezani., Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Nachingwea, Amandus Chingule akapewa kura 36,761 na Dkt. Mahadhi Mmoto CHADEMA akapewa kura 27,801.
Hadi siku Magufuli anaapishwa kuwa Rais wa Tanzani, Dkt. Mahadhi Mmoto na wenzake 11 walikuwa gereza la Lindi wamenyimwa dhamana kwa tuhuma za kuharibu mali za Serikali na CCM.
Leo mbunge wa Magufuli anaonja joto ya jiwe kwa kuzomewa na wananchi na wakisema hawamtaki wamemchoka. Hii inatukumbusha kwamba dhulma siyo riziki. Mganga anafariki.
Miongoni mwao ni hawa.Wabunge wengi wa kauli mbiu ya.... Nireteeni gwajima hawatorudi bungeni!!
Watu 76? Hoa is that possibleWananchi wakiamua wanaweza View attachment 2751192
Mijeledi imeacha alama🤣Wananchi wakiamua wanaweza View attachment 2751192
Umeanza kuonyesha mabaka yako. Fisi ni Fisi tuMbunge wa Jimbo la Nachingwea, Lindi, Amandus Chinguile ameonja joto la jiwe baada ya kuzomewa na wananchi wa kata ya Naipanga, alipokuwa akifanya mkutano wa hadhara. Wananchi wamesikika wakisema “tumekuchoka na hatukutaki, ondoka zako”.