DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 14,471
- 32,697
Ukitoka mwanza alfajiri utaingia mbeya alfajiriSawa. Nitafuatilia ni mara yangu ya kwanza kwa safari hii.
Ukitoka mwanza alfajiri utaingia mbeya alfajiriSawa. Nitafuatilia ni mara yangu ya kwanza kwa safari hii.
Huko si Mwanza, chukua koti na sweta nzito.Sawa. Nitafuatilia ni mara yangu ya kwanza kwa safari hii.
Nitazingatia mkuu.Huko si Mwanza, chukua koti na sweta nzito.
Niliwahi pita hiyo ruti ni mkeka na hakuna gari nyingi zaidi unakutana lori za Dangote hakikisha mafuta unajaza ya kutosha hakuna vituo vingi vya mafuta
Subiri dereva wa basi la Teeteeko amesema ataniambia akitoka msikitini.Naomba kuuliza kwa mwenye kujua. Ukitoka Lindi Hadi Mbeya Kwa barabara. Umbali ukoje kulinganisha na Dar Hadi Mbeya.
Hali ya barabara pia ikoje?