LINDA FAMILIA

p_prezdaa

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
432
60
Jipatie mashine ya kichujia maji ambayo haitumii umeme ni rahis kutumia na ni salama kwa asilimia 100 kwa maana ina kipenyo cha micrometer cha 0.2 ambacho hakiruhusu bacteria wala uchafu wa aina yoyote kupenya hivyo ni vizur utumie kwa usalama wa maji yanayotumiwa na familia yako.
Shilingi 130,000
Piga/wtsp 0715 336718
 
86f79b3885c5c55fc7ca3385c4771939.jpg
 
Nijuavyo mimi machine lazima itumie umeme,gase ama mafuta n.k. hicho cha kwako ni kifaa tuu.
Ngoja waone wahitaji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom