Mbona kama vile lipo jalalani?linauzwa bei mapatano kama unalihitaji ni pm
scandnavia..nI nini hilo?????
mmmh hayo macho yako!!!scandnavia..
nikugawie.....mmmh hayo macho yako!!!
hapana!we baki nayo tu ili niwe ninayaonea kwako!!nikugawie.....
nakupa moja.hapana!we baki nayo tu ili niwe ninayaonea kwako!!
Unampa Jicho?nakupa moja.
ninayo mawili.......nampa moja nami nabakia na moja.......hahahahha Bigirita umewaza wapi tena.....mana mmh.Unampa Jicho?
I mean jicho moja?.....unayo mangapi?
ninayo mawili.......nampa moja nami nabakia na moja.......hahahahha Bigirita umewaza wapi tena.....mana mmh.
litume kwenye pm!lakini liwe hilo ninalolitaka mm!nakupa moja.
simpi tena.........Umnampa "jicho"! Shauri yako huyu huwa ni nouma hafanyi kosa utampa na lililobaki!