Linaniuma sana nisaidieni jamani.

mkuu huyo mama wa mwanao ana umri gani? pia ana asili ya wapi? Huwenda usichana unamsumbua ila pamoja na hayo cdhani kama kuna haja uvumilivu zaidi kwa lipi hasa?
 
Kabila la nini tena?? Linahusiana vipi na tatizo lake?, hakuna kabila lenye watu wenye tabia mbaya wote , kila kabila limechanganya watu wenye tabia mbaya na nzuri. Mbona sikuelewi puza kabila linahusika vipi katika hili????.
Mi naona unachanganya mada,,,jaribu kusoma tena maelezo ya fastafasta utamwelewe ana tatizo gani.
Puza acha kuendekeza mambo ya ukabila siyo vizuri hasa karne hii tuliyonayo, pia nahisi hautashia kwenye ukabila tu, bali utaenda kwenye dini,rangi, na mengine mengi ambayo siyo mazuri ktk karne hii.
 
Kabila la nini tena?? Linahusiana vipi na tatizo lake?, hakuna kabila lenye watu wenye tabia mbaya wote , kila kabila limechanganya watu wenye tabia mbaya na nzuri. Mbona sikuelewi puza kabila linahusika vipi katika hili????.
Mi naona unachanganya mada,,,jaribu kusoma tena maelezo ya fastafasta utamwelewe ana tatizo gani.
Puza acha kuendekeza mambo ya ukabila siyo vizuri hasa karne hii tuliyonayo, pia nahisi hautashia kwenye ukabila tu, bali utaenda kwenye dini,rangi, na mengine mengi ambayo siyo mazuri ktk karne hii.


Well said unakunywa nini vile hebu nikumbushe na unidai kwa idadi unayotaka!!!!!
 
Kwa cc watz na maadili ye2 wengne huamini kwa kuwaona wazee wa asili yake huwenda wangempa mawazo tofauti na haya.Kwani nimeona wengi tumeshaur ale duki lakini je kama huyo mchumba ake kama c mtz na wao protocol zao ni tofati unadhani ningesema ajarib kuongea na wazee wake kupata historia yake zaid ngekuwa sahih?Mkumbuke ckuuliza kabila gani ila asili gani.
 
Naona harufu ya ukabila hapo

Jamani tusemeni tu ukweli kuna makabila hapa Tanzania hayaingiliki, kwa leo naomba nisiyataje, ila ni vizuri kabila hujafanya chochote kihusucho mahusiano umuombe Mungu na pia uwaulize wakubwa. Nina ndugu yangu aliuliwa watoto wawili kinyama na mwanamke wa kanda fulani sitaitaja. Mwanamke alikiri siku na kuomba msamaha siku alipougua sana na kujua hataishi na anakaribia kukata roho. So watch out, women are more than what you see with your nacked eyes.
 
Duh!! una moyo kweli, hadi unapata ushahidi kuwa Jamaa anagonga wewe bado umo tu.
 
Pole..................... Eee..... Love is sometimes crazy.. Vumiliani mapito...
 

jamani tusemeni tu ukweli kuna makabila hapa tanzania hayaingiliki, kwa leo naomba nisiyataje, ila ni vizuri kabila hujafanya chochote kihusucho mahusiano umuombe mungu na pia uwaulize wakubwa. Nina ndugu yangu aliuliwa watoto wawili kinyama na mwanamke wa kanda fulani sitaitaja. Mwanamke alikiri siku na kuomba msamaha siku alipougua sana na kujua hataishi na anakaribia kukata roho. So watch out, women are more than what you see with your nacked eyes.


nafikiri kuna makabila inabidi yaoane yenyewe kwa yenyewe..ndo yatawezana.... Kaskazini yako ma 3.... Kusini liko moja
 
pole sana kaka, huyo si mke mwema hakufai kabisaa,si yeyote anaevaa sketi na blauzi ni mke, kubali matokeo ibaki kuwa historia ya Jaribu lililokukuta, LA MSINGI jitahidi kulishinda USIKAWIE, Mungu ni mwema aliliyekufunulia yote hayo hata aliye mke mwema atakuonyesha kaa kwenye Imani utashinda.
 
Wanandoa sijui nani kawafundisha kufanya vitu kiuficho, ili iweje? wakati nyie ni mwili mmoja. Huwa napata hasira sana nikiona watu wanakuwa na tabia za ki hivi. Mungu anaweza yote, awatie nguvu wenye tabia kama hizi waache, ikijulikana tayari ndoa ina doa.

Son of David have mercy on us!
 
kaka fastafasta kwenye hiyo ndoa yako ondoa herufi n na baada hakuondoa n ondoa tena d huo ndio uashauri wangu ukija uchukue uamuzi huo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom