Linanikera

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,231
Wakuu yani kuna hii tabia huwa inanikera sijui nye mnalichukuliaje.

Mnakuwa kwenye kikao,mengi yatazungumzwa,mwenyekiti ateleza kila kitu,sasa unakuta mwenyekiti anaruhusu wajumbe waulize maswali au mtu mwenye maoni tofauti.Unakuta maswali yanaulizwa.
Mwenyekiti anauliza....''jamani kuna mjumbe mwenye wazo tofauti ?''unakuta mtu ananyosha kidole halafu anasema ''mi sina wazo tofauti ila naunga mkono wazo lilitolewa na mjumbe aliyetangulia''halafu anaongezea na maneno kibao mda unaenda.
sasa kama hana wazo tofauti nini kilimfanya anyoshe kidole??
 
Kuna watu huwa wanaamini kwenye mkusanyiko wa watu lazima waongee kitu hata kama hakina maana. Na hilo lipo hata kwenye vikao vya maamuzi ya kiserikali na makampuni, hii kitu ipo sana mpaka mtu unajiuliza, inakuwaje mtu mzima anarudia yale yaliyokwisha ongelewa na wengine?

Kwa wanaofikiri huwa wanabaki kuboreka tu na jinsi muda unavyopotezwa! acha tu mkuu, inaboa sana.
 
Mkuu inaboa sana kila sehemu,iwe kwenye vikao,mikutano,harusi,yaani vinaboa kwelo
 
hio meseji yako ya chini hapo ndo inanimaliza mkuu.. Jina la bwana libarikiwe sio??/ AMENNNNNNNNNNNNN
 
Tabia hii mbaya iko pia Bungeni utakuta Mhishiwa flani anaanza kwa kuunga mkono hoja 100/100 halafu anapoteza dk 15 anaongea pumba kama unaunga mkono 100% si uache kuchonga ukae tu baada ya kuunga mkono INAKERA SANA
 
haraka zako za saturday afternoon, man-u liverpool wanaingia uwanjani, tusker zimesha toka fridge zinavuja maji... alafu mwenzio akitoa point unaona upuuzi...
 
Back
Top Bottom