Tanzania Railways Corp
JF-Expert Member
- Mar 23, 2018
- 251
- 595
Mbona kama unawatisha watu hivi, badala ya kuwapa furaha
Bado kuna gizaWekeni kwanza umeme kituo cha MWANZA SOUTH- MWANZA. Yaani kila nkipita ni kiza kinene hadi Nimekabwa na nimeporwa elfu saba mia sita yangu ilokua kwenye pochi.
Bila kusahau kitambulisho NIDA
ASANTE.
Sent using Jamii Forums mobile app