Linahitajika Shamba kwa kilimo cha mpunga Moshi au Manyara

JMF

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
1,758
2,769
Salaam wadau wa jukwaa hili.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo, linahitajika shamba kwa ajili ya kilimo cha mpunga maeneo ya Moshi au Manyara. Linawezakuwa linalokodishwa au linalouzwa pamoja na bei zake. Mwenye taarifa ya upatikanaji wake naomba anijulishe tafadhali. Au kwa mwenye uzoefu na maeneo hayo wanakolima hilo zao naomba unipe mawili matatu kwa experience yako tafadhali.
 
  • Thanks
Reactions: Ogo
Back
Top Bottom