K katatuu JF-Expert Member Joined Nov 26, 2011 Posts 501 Reaction score 132 Mar 27, 2015 #41 Haya maneno.tunataka act isonge mbele.na si marumbano ya kitoto
tpaul Platinum Member Joined Feb 3, 2008 Posts 27,198 Reaction score 27,820 Mar 27, 2015 #42 waacheni virusi wauane.
P PLEASE JF-Expert Member Joined Nov 6, 2013 Posts 569 Reaction score 201 Mar 27, 2015 #43 Ibambasi said: Hujajibu swali langu. Isitoshe suala lilikuwa ni kuweka kumbukumbu sawa, sio kubishana. Click to expand... mkuu wewe ambae unajua ndio ilitakiwa kuweka mambo sawa ili nasi tusiojua tuelewa, mwanasheri msomi mwandamizi anatamiwa awe na vigezo gani?
Ibambasi said: Hujajibu swali langu. Isitoshe suala lilikuwa ni kuweka kumbukumbu sawa, sio kubishana. Click to expand... mkuu wewe ambae unajua ndio ilitakiwa kuweka mambo sawa ili nasi tusiojua tuelewa, mwanasheri msomi mwandamizi anatamiwa awe na vigezo gani?
Maseto JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,027 Reaction score 698 Mar 27, 2015 #44 Kwa taarifa za ukakika nilizo Nazi ni kwamba kuna uwezekano mkubwa wa upande wa akina Limbu kushinda kesi ya msingi.
Kwa taarifa za ukakika nilizo Nazi ni kwamba kuna uwezekano mkubwa wa upande wa akina Limbu kushinda kesi ya msingi.
Ibambasi JF-Expert Member Joined Jul 25, 2007 Posts 9,299 Reaction score 4,701 Mar 28, 2015 #45 PLEASE said: mkuu wewe ambae unajua ndio ilitakiwa kuweka mambo sawa ili nasi tusiojua tuelewa, mwanasheri msomi mwandamizi anatamiwa awe na vigezo gani? Click to expand... Muulize Wakili Msomi & Mwandamizi Petro E. Mselewa anayemiliki LL.B.,LL.M (Dar), PGDL (LST).
PLEASE said: mkuu wewe ambae unajua ndio ilitakiwa kuweka mambo sawa ili nasi tusiojua tuelewa, mwanasheri msomi mwandamizi anatamiwa awe na vigezo gani? Click to expand... Muulize Wakili Msomi & Mwandamizi Petro E. Mselewa anayemiliki LL.B.,LL.M (Dar), PGDL (LST).