Limbu abwagwa tena Mahakama Kuu

Limbu abwagwa tena Mahakama Kuu

Mahakama Kuu ya Tanzania iliyoketi leo chini ya Mtukufu Jaji Lugano Mwandambo imeahirisha kusikilizwa kwa maombi ya zuio la muda dhidi ya Mwigamba na wenzake na kupanga kusikilizwa kwa kesi ya msingi mnamo tarehe 15/4/2015. Kimsingi, Mwigamba na wenzake wataendelea na shughuli zote za chama hadi tarehe ya kusikilizwa kwa shauri hilo.

Kesi ya msingi ni kati ya Kadawi L. Limbu, Leopold Lucas Mahona na Grayson Manyori Nyakarungu dhidi ya Samson Mwigamba, Peter Mwambuja na Mohamed Masaga. Ni kesi ya madai nambari 17 ya 2015. Wadai waliwasilisha Maombi madogo nambari 21/2015 yakiomba, pamoja na mambo mengine, zuio la muda dhidi ya Wadaiwa-akina Mwigamba kutojihusisha na shughuli za ACT-Tanzania hadi kesi ya msingi itakaposikilizwa na kuamuliwa. Maombi hayo madogo yaliondolewa (were struck out) kutokana na upande wa Wadaiwa kukubali kuwa Maombi yao yalikuwa na mapungfu ya kisheria hasa katika kuifanya Mahakama itoe kinachmbwa (to move the court).

Wadai-akina Limbu waliwasilisha maombi madogo tena nambari 129/2015 wakiomba zuio la muda dhidi ya Mwigamba na wenzake na wateule wao hadi kumalizika kesi ya msingi. Maombi hayo madogo mapya yalipangwa kusikilizwa leo. Mawakili wa Mwigamba wakiongozwa na Wakili Msomi Mwandamizi John Mnaku B. Mhozya, pamoja na kupokea maombi hayo leo,walidokeza mapungufu mengine ya kisheria katika maombi madogo mapya na kupingwa kusikilizwa kwa maombi hayo madogo mapya leo.

Jaji Mwandambo amekubaliana na hoja za Mawakili wa Wadaiwa na ameamua kuwa kesi ya msingi itatajwa tarehe 15/4/2015 na hoja za kisheria kupokelewa siku hiyo. Hivyobasi,Mwigamba na wenzake ambao ni Wadaiwa/Wajibu Maombi watendelea kujihusisha na ACT-Tanzania hadi itaapoamriwa vinginevyo.

Kama unajua mwaka aliomaliza shahada ya chuo na mwaka aliosajiliwa kuwa wakili, huyo bwana sio wakili mwandamizi (senior). Ujaribu kuelewa maana ya mtu kuwa "mwandamizi".
 
Mkuu najua vyema sana.Amemaliza shahada yake ya sheria UDSM mwaka 2007. Amekubaliwa na kusajiliwa kuwa Wakili mwaka 2010. Unatakaje tena Mkuu?
 
Petro E. Mselewa , hili la kesi kuwa na mapungufu naona kama linakuwa trend. Kesi ya Zitto pia ilitupwa na mapungufu na hizi nazo tena. Hivi ni tatizo la mawakili kutokujua technicalities? au hizo technicalities haziko wazi kwa kila mwanasheria/wakili. Hebu 'nitoe tongotongo'!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu najua vyema sana.Amemaliza shahada yake ya sheria UDSM mwaka 2007. Amekubaliwa na kusajiliwa kuwa Wakili mwaka 2010. Unatakaje tena Mkuu?

Sasa suala la yeye kuwa wakili "mwandamizi" linatoka wapi? Au unajua maana ya wakili kuwa "mwandamizi"?
 
Mkuu SMU,nakubaliana na wewe kuwa sasa mapungufu ya kisheria yamekuwa kikwazo na mtindo wa kutupwa kwa mashauri. Lakini, jua ya kwamba mapungufu mengi hujitokeza kwenye Maombi Madogo ambapo Mwombaji analazimika kutaja kifungu mahsusi kinachomruhusu kuomba anachokiomba. Mara nyingi,labda ni kwa mazoea, Mawakili Wasomi wengi hutaja kifungu cha 95 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Madai, Sura ya 33 ya Sheria za Tanzania.

Kimsingi, kifungu tajwa kinazungumza mamlaka ya jumla ya Mahakama Kuu na nyinginezo kutoa nafuu za kisheria. Hatahivyo, Mwombaji lazima ataje kifungu mahsusi kutoka sheria mahsusi ili kuweza kuepuka mapungufu ya kisheria yanayoweza kujitokeza na kuifanya mahakama itoe nafuu za kisheria ziombwazo. Si jambo dogo hilo Mkuu SMU katika ulimwengu huu wa mazoea na copy and paste.
 
Majina yaliopitishwa kugombea nafasi za uongozi Taifa ACT- TANZANIA.

Mwenyekiti Taifa

1. Estomiah Mallah
2. Anna Elisha Mahwira

Makamu Mwenyekiti bara
1. Shabani Mambo

Makamu Mwenyekiti Visiwani

1.Ramadhani Suleiman Ramadhani
2. Hamadi Yusuph

Kamati kuu.

1. Morghan Winston
2. Msafiri Mtemelwa
3.Mchange H Mchange
4. Peter Amos Kimaro
5. Kansa Mohamed Mbaruku
6.Deluxe R Mahyono
7. Eva Habel Kaka
8. Matokeo Sumba
9. Abdala Omar Abdala
10. Kassim Alli Hamad.
11.Ali Apcalipo Ali
12. Ali Hassan Mkali
 
Mahakama Kuu ya Tanzania iliyoketi leo chini ya Mtukufu Jaji Lugano Mwandambo imeahirisha kusikilizwa kwa maombi ya zuio la muda dhidi ya Mwigamba na wenzake na kupanga kusikilizwa kwa kesi ya msingi mnamo tarehe 15/4/2015. Kimsingi, Mwigamba na wenzake wataendelea na shughuli zote za chama hadi tarehe ya kusikilizwa kwa shauri hilo.

Kesi ya msingi ni kati ya Kadawi L. Limbu, Leopold Lucas Mahona na Grayson Manyori Nyakarungu dhidi ya Samson Mwigamba, Peter Mwambuja na Mohamed Masaga. Ni kesi ya madai nambari 17 ya 2015. Wadai waliwasilisha Maombi madogo nambari 21/2015 yakiomba, pamoja na mambo mengine, zuio la muda dhidi ya Wadaiwa-akina Mwigamba kutojihusisha na shughuli za ACT-Tanzania hadi kesi ya msingi itakaposikilizwa na kuamuliwa. Maombi hayo madogo yaliondolewa (were struck out) kutokana na upande wa Wadaiwa kukubali kuwa Maombi yao yalikuwa na mapungfu ya kisheria hasa katika kuifanya Mahakama itoe kinachmbwa (to move the court).

Wadai-akina Limbu waliwasilisha maombi madogo tena nambari 129/2015 wakiomba zuio la muda dhidi ya Mwigamba na wenzake na wateule wao hadi kumalizika kesi ya msingi. Maombi hayo madogo mapya yalipangwa kusikilizwa leo. Mawakili wa Mwigamba wakiongozwa na Wakili Msomi Mwandamizi John Mnaku B. Mhozya, pamoja na kupokea maombi hayo leo,walidokeza mapungufu mengine ya kisheria katika maombi madogo mapya na kupingwa kusikilizwa kwa maombi hayo madogo mapya leo.

Jaji Mwandambo amekubaliana na hoja za Mawakili wa Wadaiwa na ameamua kuwa kesi ya msingi itatajwa tarehe 15/4/2015 na hoja za kisheria kupokelewa siku hiyo. Hivyobasi,Mwigamba na wenzake ambao ni Wadaiwa/Wajibu Maombi watendelea kujihusisha na ACT-Tanzania hadi itaapoamriwa vinginevyo.

Ushindi wa kiufundi mara nyingi kuna virushwa vimesambazwa
 
Majina yaliopitishwa kugombea nafasi za uongozi Taifa ACT- TANZANIA.

Mwenyekiti Taifa

1. Estomiah Mallah
2. Anna Elisha Mahwira

Makamu Mwenyekiti bara
1. Shabani Mambo

Makamu Mwenyekiti Visiwani

1.Ramadhani Suleiman Ramadhani
2. Hamadi Yusuph

Kamati kuu.

1. Morghan Winston
2. Msafiri Mtemelwa
3.Mchange H Mchange
4. Peter Amos Kimaro
5. Kansa Mohamed Mbaruku
6.Deluxe R Mahyono
7. Eva Habel Kaka
8. Matokeo Sumba
9. Abdala Omar Abdala
10. Kassim Alli Hamad.
11.Ali Apcalipo Ali
12. Ali Hassan Mkali

Chama cha waislamu wa Kigoma asiliia 95% sasa Zitto fyata mdomo wako kutukana chadema eti umeachwa kwa ajili ya uislamu mbona wewe kamat kuu umeweka waislam wenzio tena wa Kigoma
 
Ww ni chizi kabisa hapo pole sana kwa mawazo ya kwenye kopo
 
Magwangala,

Mimi nimehusika kwenye hilo shauri kama wakili tu na si vinginevyo. Mwigamba na wenzake walikuja ofisini kwetu wakatupatia instructions za kuwawakilisha,nasi tumefanya hivyo kwa niaba ya wateja wetu na tunashukuru wameridhika na huduma na representation tuliyowapatia kama ofisi (Fortis Attorneys)

Hongera sana bro john
 
Mkuu, hizo ni lugha za tasnia tu.Zisikusumbue
Ila hizi lugha mziangalie bana. Huko kwenye Judiciary kuna kusujudiana sana. Na kinachoudhi zaidi kuna majaji wa chupi nao wanataka heshima hiyo hiyo. Inaudhi kwa kweli.
 
Limbu unajua unapambana na nani? CCM na usalama wa taifa huwezi kuwashinda Jaji mwenyewe ni mteule wa Mwenyekiti wa CCM,katiba mbovu kulikp nzote Afrika Mashariki na kati.Jaji huyu anapokea maaelekezo toka Usalama wa taifa.Ni lazima ZITTO awe kiongozi wa juu wa chama kama wafadhili wake walivyopanga,lengo ni kuisadia CCM katika mapambano ya mwaka huu.
 
Back
Top Bottom