Petiro JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 309 Reaction score 45 Nov 9, 2011 #1 Wadau plz nahitaji namba ya simu ya office ya Taqwa buses au Mohammed Trans kwani nataka kusafiri toka Malawi kuja Bongo
Wadau plz nahitaji namba ya simu ya office ya Taqwa buses au Mohammed Trans kwani nataka kusafiri toka Malawi kuja Bongo
Mabagala JF-Expert Member Joined Nov 27, 2009 Posts 1,477 Reaction score 327 Nov 9, 2011 #2 huwezi ukawagoogle?
Petiro JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 309 Reaction score 45 Nov 9, 2011 Thread starter #3 Mkuu hawapo mtandaoni
M Mrdash1 JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,375 Reaction score 339 Nov 10, 2011 #4 Petiro said: Wadau plz nahitaji namba ya simu ya office ya Taqwa buses au Mohammed Trans kwani nataka kusafiri toka Malawi kuja Bongo Click to expand... Kama kuna msikiti jirani na hapo ulipo nenda ukaulizie humo
Petiro said: Wadau plz nahitaji namba ya simu ya office ya Taqwa buses au Mohammed Trans kwani nataka kusafiri toka Malawi kuja Bongo Click to expand... Kama kuna msikiti jirani na hapo ulipo nenda ukaulizie humo
Chipukizi JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 4,652 Reaction score 7,141 Nov 10, 2011 #5 Wewe sogea sogea ufike mpakani.magari ni mengi tu
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,407 Reaction score 3,032 Nov 10, 2011 #6 Mrdash1 said: Kama kuna msikiti jirani na hapo ulipo nenda ukaulizie humo Click to expand... Acha ujinga huo, msikiti umehusu nini hapa. Mwenzio kauliza, hujui si unyamaze tu. Kazi kuleta udini tu. VIVA JF.
Mrdash1 said: Kama kuna msikiti jirani na hapo ulipo nenda ukaulizie humo Click to expand... Acha ujinga huo, msikiti umehusu nini hapa. Mwenzio kauliza, hujui si unyamaze tu. Kazi kuleta udini tu. VIVA JF.
Songambele JF-Expert Member Joined Nov 20, 2007 Posts 4,726 Reaction score 2,607 Nov 10, 2011 #7 ulibwanje! 0716757211 hq mtaa wa lindi atakutoa huko au 0653172249
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,944 Reaction score 4,511 Nov 10, 2011 #8 Petiro said: Wadau plz nahitaji namba ya simu ya office ya Taqwa buses au Mohammed Trans kwani nataka kusafiri toka Malawi kuja Bongo Click to expand... Sogea mpaka boda la TZ upande Sumry
Petiro said: Wadau plz nahitaji namba ya simu ya office ya Taqwa buses au Mohammed Trans kwani nataka kusafiri toka Malawi kuja Bongo Click to expand... Sogea mpaka boda la TZ upande Sumry
Petiro JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 309 Reaction score 45 Nov 10, 2011 Thread starter #9 Nawashukuru sn wadau nimepata basi la PHINDU LUXURY .
M Mrdash1 JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,375 Reaction score 339 Nov 11, 2011 #10 Globu said: Acha ujinga huo, msikiti umehusu nini hapa. Mwenzio kauliza, hujui si unyamaze tu. Kazi kuleta udini tu. VIVA JF. Click to expand... Ehh! ww vipi? mbona umelikoka? kwani misikitini mtu ukiwa na shida si ruksa kwenda kuuliza kwa waungwana?
Globu said: Acha ujinga huo, msikiti umehusu nini hapa. Mwenzio kauliza, hujui si unyamaze tu. Kazi kuleta udini tu. VIVA JF. Click to expand... Ehh! ww vipi? mbona umelikoka? kwani misikitini mtu ukiwa na shida si ruksa kwenda kuuliza kwa waungwana?