Lile soko la Mwanza pale mjini kati

Lile soko la Mwanza pale mjini kati

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
3,219
Reaction score
4,613
Mbona kama miaka liliyochukua kujengwa na kufikia hapo lilipo ni mingi kuliko MATOKEO , au Kuna mambo ya ziada tupeni Shule na UFAFANUZI. nahisi ni zaidi ya miaka mitatu
 
Hakuna JIJi limepangika vibaya kama Rock city aisee lile Soko lingeenda nje ya Mjini kidogo pale patajaa machinga vibaya mnoo ma hakuna wa kuwazuia
 
Mbona Washajaa , wale waliokuwepo kabla ya huu ujenzi mpya wamerudi kwa kasi ya 5G, nimepita hapo jana panapitika kwa shida sana
 
Kuna watu washaanza kujipigia hela huko kabla halijakamilika..kuna jamaa amenambia walipewa control namba na almashauri ili ku book vyumba...cha ajabu kalipia laki tano...wapo waliolipoa hadi milion tano..mwsho wa siku wanaambiwa watatumia mfumo wa Tausi katika kupata vyumba..yan mkiwa kumi mnaweka ushindan apatikane mmoja atakaechukua...kwa hyo hela zao wamepigwa kiaina na hakuna pa kupeleka malalamiko
 
Ndio faida za kutoa rushwa
 
Kama una mtu kalipia laki tano au millioni kwa control namba niunganishe Mimi nifuatilie hizo pesa na haki zao watapata. Hata hivyo control namba inatoka kwenye mfumo wa tausi.
 
Sasa nahisi walitoa kama rushwa na ndo maana nlipojaribu kumuuliza kwa nini usifuatilie akaanza chenga chenga...atakuwa aliweka kweny account ya mtu ila akadanganya kuwa ni kweny control number
 
Sasa nahisi walitoa kama rushwa na ndo maana nlipojaribu kumuuliza kwa nini usifuatilie akaanza chenga chenga...atakuwa aliweka kweny account ya mtu ila akadanganya kuwa ni kweny control numbe
Kama ameweka kwenye akaunti kama rushwa zinarudi kiulaini sana
 
Back
Top Bottom