Lile Babu jinga la JKT

Lile Babu jinga la JKT

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
5,661
Reaction score
7,267
Limeanza kutamba eti yanga ni halali yao.
Shida ni kunywimwa pesa lilizoba kwa injinia kwamba linadaiwa kodi ya pango,basi limeweka nongwa ya kuisakama yanga
 
MKUU HIVI UNAAKILI TIMAMU KABISA??????

Nisamehe lakini inaonekana either unatumia kilevi
Madawa ya kulevya.
Au umerogwa.

Mtu mwenye akili timamu hawezi kuandika hivyo aisee.
 
MKUU NAWAZA MTU ANASHIKA SIMU ANAINGIA JF, ANATAFUTA JUKWAA KISHA ANAANDIKA UZI KAMA HUU 😂.

NIMEOGOPA SANA MKUU ... HUYU NI MZIMA KWELI

Miminiliwahi kuwa na mawazo angalau kuwa member wa Jamii Forum ni
1. Kunapimwa Akili.
2.kufanyiwa Interview.
3. Kulipia Uzi ama Comment.
4. Kuchangia hela za kuwa mwanachama nk.

Jitu linaamka asubuhi asubuhi na kuanza kusema watu kisa mambo ya kipumbavu ya simba na yanga Aibu kweli kweli.

Haya ndio yale yaliyotoka kwenye vijiwe vya kahawa yakahamia hapa.
 
Ukizozana na zuzu watu watashindwa kukuelewa
 
Back
Top Bottom