Wakuuu kwema..!!!Kuna huyu Presenter anaitwa lil ommy ana kipindo chake kinaitwa The play list kuna ile sound track ya mziki uwa unalia kwa mbali lile beat la ule mziki ile ni ngoma gani msaada mnijuze tafadhari....