HallelujahBwana Yesu apewe sifa. Leo jina la Yesu limenitendea jambo kubwa sana katika maisha yangu. Wakuu ilikuwa si mchezo.
Hapa naandika machozi yananitiririka,Ilikuwa sipo duniani jina la Yesu ndio limeniokoa yaani isingekuwa kulitaja jina Yesu sasa hivi ingekuwa bahari nyingine. Aisee ndugu zanguni Yesu yupo na anaweza. Yesu ndio jina lililo kuu kupita majina yote duniani
Kesho nikipata nafasi nitakuja kutoa ushuhuda wangu.
Thanks a lot Jesus.
Kuanzia Leo mimi na bahari za ushirikina na uchawi ndio nimezizika rasmi...
Amen Amen.Jina la Yesu litukuzwe
Mbinguni Malaika wanashangilia.Guys Jesus is for real I was gone today he took me back to life. Natype natiririka machozi
Uliumbwa ili umuabudu yeye.mi sasa ni miaka ishirini sihudhulii ibada ila nahisi sina dhambi,sijawahi gusa ushirikina,sio mlevi,sio malaya,sikumbuki kutenda dhambi yeyote,niko na amani sana,
Salama boss. Nipo mara moja moja. Mijadala ya hoja imepungua sana, na matusi wengine kwetu ni no go. Umewasahau October, XPaster,Max Shimba, Eyal na wengineoMkuu salama? Kitambo sana sijakusoma humu ndani, nakukumbuka kwenye jukwaa la imani enzi zile za mkuu Eshmael kwenye mijadala ya Kuwepo au kutokuwepo Mungu.
Eshmael nae ndio sijui kapotelea wapi hakika michango yenu ilikuwa ya kujenga haswaa!!
Nikutakie kila la kheri na Mungu azidi kukubariki.
Mtumishi naona umeshusha maneno mazito sana. Sema hilo "Konki ""Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho." Waefeso 6:12
Mungu aliyekuwa na Daniel aambatane na wewe kwenye kila jaribu unalopitia LIKUD maana hapa umetangaza vita na shetani nasubiri ushuhuda konkiiii kutoka kwako.
Bwana Yesu apewe sifa. Leo jina la Yesu limenitendea jambo kubwa sana katika maisha yangu. Wakuu ilikuwa si mchezo.
Hapa naandika machozi yananitiririka,Ilikuwa sipo duniani jina la Yesu ndio limeniokoa yaani isingekuwa kulitaja jina Yesu sasa hivi ingekuwa bahari nyingine. Aisee ndugu zanguni Yesu yupo na anaweza. Yesu ndio jina lililo kuu kupita majina yote duniani
Kesho nikipata nafasi nitakuja kutoa ushuhuda wangu.
Thanks a lot Jesus.
Kuanzia Leo mimi na bahari za ushirikina na uchawi ndio nimezizika rasmi...
Yani unaendekeza umbea mpk kwenye neno la Mungu. Nakugawa bure, umenishinda tabiaNasubiria ushuhuda kwa hamu
Kwa hivyo, wewe ni mchawi uliye achana na uchawi leo?
Ni kweli hukuwa ukijua Yesu yupo ama ukaidi tu??
Nigawe tu maana mimi mwenyewe nimeshakuchokaYani unaendekeza umbea mpk kwenye neno la Mungu. Nakugawa bure, umenishinda tabia
Bwana Yesu apewe sifa. Leo jina la Yesu limenitendea jambo kubwa sana katika maisha yangu. Wakuu ilikuwa si mchezo.
Hapa naandika machozi yananitiririka,Ilikuwa sipo duniani jina la Yesu ndio limeniokoa yaani isingekuwa kulitaja jina Yesu sasa hivi ingekuwa bahari nyingine. Aisee ndugu zanguni Yesu yupo na anaweza. Yesu ndio jina lililo kuu kupita majina yote duniani
Kesho nikipata nafasi nitakuja kutoa ushuhuda wangu.
Thanks a lot Jesus.
Kuanzia Leo mimi na bahari za ushirikina na uchawi ndio nimezizika rasmi...
Glory to God the almighty...Bwana Yesu apewe sifa. Leo jina la Yesu limenitendea jambo kubwa sana katika maisha yangu. Wakuu ilikuwa si mchezo.
Hapa naandika machozi yananitiririka,Ilikuwa sipo duniani jina la Yesu ndio limeniokoa yaani isingekuwa kulitaja jina Yesu sasa hivi ingekuwa bahari nyingine. Aisee ndugu zanguni Yesu yupo na anaweza. Yesu ndio jina lililo kuu kupita majina yote duniani
Kesho nikipata nafasi nitakuja kutoa ushuhuda wangu.
Thanks a lot Jesus.
Kuanzia Leo mimi na bahari za ushirikina na uchawi ndio nimezizika rasmi...
Njoo tu mkuu, ueleze jinsi ulivyomkandamiza yule mwovu kwa jina la Yesu.Bwana Yesu apewe sifa. Leo jina la Yesu limenitendea jambo kubwa sana katika maisha yangu. Wakuu ilikuwa si mchezo.
Hapa naandika machozi yananitiririka,Ilikuwa sipo duniani jina la Yesu ndio limeniokoa yaani isingekuwa kulitaja jina Yesu sasa hivi ingekuwa bahari nyingine. Aisee ndugu zanguni Yesu yupo na anaweza. Yesu ndio jina lililo kuu kupita majina yote duniani
Kesho nikipata nafasi nitakuja kutoa ushuhuda wangu.
Thanks a lot Jesus.
Kuanzia Leo mimi na bahari za ushirikina na uchawi ndio nimezizika rasmi...
UPDATE: Wakuu msione kimya. Bado sijapata nafasi ya kutoa ushuhuda wangu. Nikipata nafasi nitakuja kushuhudia A to Z.
Kumrudia mungu kwan kunasiku ulituambia umemuondokea mung? Achen michezo yakijinga maisha nimafupiNdugu yangu nimeamua kumrudia Mungu
Karibu nyumbani.. Mahali pekee ambapo unaweza ukatua mizigo yako ya machungu katika dunia hii ni wokovu yani ndani ya kristo. Kumkiri Yesu kama bwana ni mwanzo wa maisha mapyaBwana Yesu apewe sifa. Leo jina la Yesu limenitendea jambo kubwa sana katika maisha yangu. Wakuu ilikuwa si mchezo.