Kwa hivyo, wewe ni mchawi uliye achana na uchawi leo?
Ni kweli hukuwa ukijua Yesu yupo ama ukaidi tu??
Bwana Yesu apewe sifa. Leo jina la Yesu limenitendea jambo kubwa sana katika maisha yangu. Wakuu ilikuwa si mchezo. Hapa naandika machozi yananitiririka. Ilikuwa sipo duniani. Jina la Yesu ndio limeniokoa .Yani isingekuwa kulitaja jina Yesu sasa hivi ingekuwa bahari nyingine. Aisee ndugu zanguni Yesu yupo na anaweza. Yesu ndio jina lililo kuu kupita majina yote duniani
Kesho nikipata nafasi nitakuja kutoa ushuhuda wangu.
Thanks a lot Jesus.
Kuanzia Leo mimi na bahari za ushirikina na uchawi ndio nimezizika rasmi...
kwa matendo yako hakika wewe ni mwana wa mungu.mi sasa ni miaka ishirini sihudhulii ibada ila nahisi sina dhambi,sijawahi gusa ushirikina,sio mlevi,sio malaya,sikumbuki kutenda dhambi yeyote,niko na amani sana,
Bwana Yesu alishatuonya kuwa nyakati hizi wengi watakuja kwa jina lake na watakuwa fake. So kwa sisi tunaomuamini ni uthibitisho tosha. Wasanii watazidi kuongezeka na sio kupungua ndugu yaku. Tarajia kusikia usanii zaidi ya ule wa IringaYule aliyeanguka huko Iringa inebainika ulikua ni usanii.
Sawa Mpendwa nimekuelewa,.Rafiki yangu kumbuka every saint has a past, and every sinner has a future, ni kumtia nguvu kiimani huyu amezaliwa upya ya nyuma hatupaswi kuyakumbuka, kama yeyw aliyejuu anatusamehe na wala hatuulizi sisi ni nani mpaka tufanye hayo?
Kwa nini Yesu na sio Allah/ Mtume Mohammed
Bwana Yesu apewe sifa. Leo jina la Yesu limenitendea jambo kubwa sana katika maisha yangu. Wakuu ilikuwa si mchezo. Hapa naandika machozi yananitiririka. Ilikuwa sipo duniani. Jina la Yesu ndio limeniokoa .Yani isingekuwa kulitaja jina Yesu sasa hivi ingekuwa bahari nyingine. Aisee ndugu zanguni Yesu yupo na anaweza. Yesu ndio jina lililo kuu kupita majina yote duniani
Kesho nikipata nafasi nitakuja kutoa ushuhuda wangu.
Thanks a lot Jesus.
Kuanzia Leo mimi na bahari za ushirikina na uchawi ndio nimezizika rasmi...
Tushushie huo ushuhuda tafadhaliSiamini kilichonitokea.
Bwana Yesu apewe sifa. Leo jina la Yesu limenitendea jambo kubwa sana katika maisha yangu. Wakuu ilikuwa si mchezo.
Hapa naandika machozi yananitiririka,Ilikuwa sipo duniani jina la Yesu ndio limeniokoa yaani isingekuwa kulitaja jina Yesu sasa hivi ingekuwa bahari nyingine. Aisee ndugu zanguni Yesu yupo na anaweza. Yesu ndio jina lililo kuu kupita majina yote duniani
Kesho nikipata nafasi nitakuja kutoa ushuhuda wangu.
Thanks a lot Jesus.
Kuanzia Leo mimi na bahari za ushirikina na uchawi ndio nimezizika rasmi...
Yule aliyeanguka huko Iringa inebainika ulikua ni usanii.
Mkuu salama? Kitambo sana sijakusoma humu ndani, nakukumbuka kwenye jukwaa la imani enzi zile za mkuu Eshmael kwenye mijadala ya Kuwepo au kutokuwepo Mungu.Bwana Yesu alishatuonya kuwa nyakati hizi wengi watakuja kwa jina lake na watakuwa fake. So kwa sisi tunaomuamini ni uthibitisho tosha. Wasanii watazidi kuongezeka na sio kupungua ndugu yaku. Tarajia kusikia usanii zaidi ya ule wa Iringa
Yohana 3:5-7 ''YESU akajibu, Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa kwa maji na kwa ROHO, hawezi kuuingia ufalme wa MUNGU. Kilichozaliwa kwa mwili ni mwili; na kilichozaliwa kwa ROHO ni roho. Usistaajabu kwa kuwa nilikuambia, Hamna budi kuzaliwa mara ya pili. ''
Hongera sana ndugu kwa kuokoka.