Likizo bila malipo. Je, sheria inaelekeza nini?

KAUCHEZEA

Member
Mar 4, 2013
22
10
Hivi sheria inatuongoza vipi katika upande Wa likizo bila malipo. kwani kampuni za tours pamoja na mahoteli upande Wa Zanzibar utoa likizo bila malipo kwa miezi 2 kwa kisingizio cha Corona.

Wafanyakazi wengi hawafahamu sheria je inaelekeza nini kuhusu likizo bila malipo na serikali inaweza kutoa mwongozo upi kwa kampuni na hotel kama hizi ili kulinda maslai ya wafanyakazi?
 
Inaelekeza kwa aliepewa likizo arudishwe kazini pindi tatizo lililosababisha iyo likizo litakapoisha.
 
Mkuu sio kwamba wanasingizia Corona ni kweli Corona imeathiri sana utalii nchi nzima.
Hakuna namna ilikuwa lazima kuwapeleka wafanyakazi likizo. Tena kwa hali ilivyo wengi watapoteza ajira kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na walinzi nao wanaenda likizo?
Kama wameenda likizo nambieni..nataka nikaogelee NEPTUNE na MELIA hotel Zanzibar nikalale kabisa kwenye room zao zile za karibu na bahari bureeee

Nikitoka hapo niende MAPENZI beach resort jirani yake NEPTUNE nikagongane na demu kwenye room luxury for free hata corona ikinikuta humo nitakuwa nimeinjoy
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom