mkuu,mkono wa kushoto ukitoa wa kulia haupashwi kujua,we endelea kumwaga ma 'like' tu bila kujali unapokea.Mi nashangaa, kwanini mtu wakati yeye ni mmoja atoe likes nyingi zaidi ya alizopewa wakati memba ni wengi zaidi ya 10 alfu, mi sijui nijuzeni.
Mimi natoa likes marachache sana coz nilikuwa natoa sana hafu mi sipewi, nikaona ujinga nami sitoi nimekuwa mchoyo.
sweetlady, nilimkubali toka siku ya kwanza nilivyoanza kuchangia nyuzi mbalimbali, namuonaga kama mtu mwenye sheria na mkali kiasi, huwa naogopa zake nyingine kuchangia na mtu anaitwa mtambuzi, huwa simuelewi, naonaga anakuja na cases mbalimbali na kusepa! huwa hayupo sana, kuna anaitwa rejeao, sijui kama nimepatia spellings, huyu na DC naonaga ni wakali sana! wadada nawaonaga mko pouwa ila eroticah ana vituko zaidi.
umezidi wewe,kila kitu no no no no no,subiri iko siku 'like' zako zitaliwa na nyenyere.
mkuu,mkono wa kushoto ukitoa wa kulia haupashwi kujua,we endelea kumwaga ma 'like' tu bila kujali unapokea.
cacico nipe hongera kwa kuwa na shemeji mtata kama Bishanga....kiukweli yuko poa sana mie pia zamani nilikuwa naogopa hata kumquote lol....nilivyokuja mjulia .....we wacha tu siku hizi hata hela ya vocha namuomba ukijumlisha na hivi nimeolewa kwenye ukoo wao ndio kabisaaaaa.... Rejao hana noma akiwa chit chat wala mmu....mkikutana kwenye siasa loooh kama hajawai kukutana na wewe yeye pia ni kakangu wa damu..... Dark City mie huwa napenda sana michango yake kiukweli huwa imejaa mabusara sana , kuna mwingine anaitwa Mbu yeye na babu DC nawaweka kundi moja.....wana busara za kutosha.......... Mtambuzi huyu nadhani na uzee unachangia lol.....nna picha yake kichwani huwa nahisi ni mzee sana , yeye pia akiamua ana mabusara ila wakati mwingine anakumbukia enzi za ujana wake.... Erotica ana vituko haswa sio utani......sweetlady, nilimkubali toka siku ya kwanza nilivyoanza kuchangia nyuzi mbalimbali, namuonaga kama mtu mwenye sheria na mkali kiasi, huwa naogopa zake nyingine kuchangia na mtu anaitwa mtambuzi, huwa simuelewi, naonaga anakuja na cases mbalimbali na kusepa! huwa hayupo sana, kuna anaitwa rejeao, sijui kama nimepatia spellings, huyu na DC naonaga ni wakali sana! wadada nawaonaga mko pouwa ila eroticah ana vituko zaidi.
I wish Young Master angeweka kotufe cha like kwenye hii android JF, na mimi ningekuwa mkarimu.
sweetlady wengine nitazidi kuwajua taratibu, thanx for being one of my friends, kama bishanga ni shemejio, basi shemeji umepata hakuna litakalopindishwa, tena naamini mpango wa kando hana kabisa, nimekugongea 'LIKE' sitaki kumkwaza shemeji yako bishanga!!cacico nipe hongera kwa kuwa na shemeji mtata kama Bishanga....kiukweli yuko poa sana mie pia zamani nilikuwa naogopa hata kumquote lol....nilivyokuja mjulia .....we wacha tu siku hizi hata hela ya vocha namuomba ukijumlisha na hivi nimeolewa kwenye ukoo wao ndio kabisaaaaa.... Rejao hana noma akiwa chit chat wala mmu....mkikutana kwenye siasa loooh kama hajawai kukutana na wewe yeye pia ni kakangu wa damu..... Dark City mie huwa napenda sana michango yake kiukweli huwa imejaa mabusara sana , kuna mwingine anaitwa Mbu yeye na babu DC nawaweka kundi moja.....wana busara za kutosha.......... Mtambuzi huyu nadhani na uzee unachangia lol.....nna picha yake kichwani huwa nahisi ni mzee sana , yeye pia akiamua ana mabusara ila wakati mwingine anakumbukia enzi za ujana wake.... Erotica ana vituko haswa sio utani......
a.ka. bongolala land! thanx mwaya nimepokea!.. "LIKE " to All Chit Chat Members"...