KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,828
- 12,321
Ushaambiwa movie.
Kiuhalisia, thubutu.
Mia kwa mmoja.
ha ha ha hahapana mkuu yeye nimemsikia analipuka radio maria muda mfupi uliopita!Hivi haka kamchina kangu kananionesha sahihi au? namuona kama Rais wa Chugga vile
Cha ajabu we unaweza usiwepo kwenye iyo 100, licha ya kula nondo na madesa humu kila siku.
Ushaambiwa movie.
Kiuhalisia, thubutu.
Mia kwa mmoja.
hahahahahahaha!...yanatokea haya...! nakumbuka siku moja nilikuwa nimekazwa na malaria akaja dem u wangu ambaye kwasasa siko naye tena alikuja akanikuta kitandani niko hoi kataka kujifanya ananidekeza nikaamsha mzuka we malaria sijui ilipita wapi nilikuja kuipata kesho yake..!