Karibu kwenye ulimwengu wa animation
ndo ugonjwa wangu nazuga namnunulia mwanangu ila nazipenda sana
Na nyie wenye watoto mnaringaaa...
Ha ha ha ha pole sana
Kazi kweli kweli
Hahahha mi my son ndio anaenifanya nizipende pia
Na nyie wenye watoto mnaringaaa...
Mwenzenu mshamba animation ndio nn!!!
maana hata mtoto wa kusingiziwa sina mhhhhhh!!!
How old is he?
Na nyie wenye watoto mnaringaaa...
Mwenzenu mshamba animation ndio nn!!!
maana hata mtoto wa kusingiziwa sina mhhhhhh!!!
Karibu kwenye ulimwengu wa animation
Ha ha ha ha pole sana
Kazi kweli kweli