Like Father Like Daughter

Like Father Like Daughter

Anapatikana wapi huyu nataka kutumia mbinu za Albert Marwa
 
Magari ya kijeshi kama sikosei ni ya kichina au urusi hayana sura kabisa.

Oooooh........asante kwa kuniokoa........huwa unaniokoa sana wewe...........
yapo kama Ashok......?.....
 
Huu ni ukosefu wa adabu.. siasa za wasira muachieni wasira hazina uhusiano wowote na mtoto wake... jf ishageuka kilinge cha wavuta bangi... nitawashangaa mods kwa kuendelea kuweka huu upuuzi hapa.
 
Huu ni ukosefu wa adabu.. siasa za wasira muachieni wasira hazina uhusiano wowote na mtoto wake... jf ishageuka kilinge cha wavuta bangi... nitawashangaa mods kwa kuendelea kuweka huu upuuzi hapa.

mbona unatokwa na povu mkuu?
 
Inashangaza sana leo ambao wanajifanya kupinga unyanyapaa.. albino, waathirika etc humu wako vifua mbele kumkejeli huyu mzee!! Shame!! Hata kama humpendi sioni kama ni busara kumkejeli kwa kitu ambacho hajakitengeneza mwenyewe na hawezi kurekebisha!! Hujafa hujaumbika...put yourself in his shoes...pamoja na familia yake!!this is too low for gt
 
This is too low and uncalled for.Tuwe wastaarabu tusichanganye upinzani wa kisiasa na ukosefu wa maadili na kukufuru.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom