Lijue kombora la Iran linalofika Israel kwa dakika 7 tu

Nikilewa mniache

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
19,276
Reaction score
51,858

Sajil-2: Kombora hatari la Iran linalofika Israel kwa 'dakika 7'​

a

Chanzo cha picha: Getty Images

Maelezo ya picha: Jaribio la kwanza la mafanikio la kombora hili lilifanyika mwaka 2008

Mzozo wa hivi karibuni wa kijeshi kati ya Israel na Iran umekuwa jaribio la uwezo wa mapigano wa nchi zote mbili, pamoja na silaha zao.

Wakati Iran ilipoishambulia tena Israel wiki moja na nusu iliyopita, ilidai kwa mara ya kwanza kwamba kombora la Sajil-2 la Iran lilitumika katika shambulio hilo. Hata hivyo, Israel inadai kuwa jeshi lake lilizuia shambulio la kombora la Sajil na kulinasua kwa mafanikio kwa msaada wa mfumo wa ulinzi.

Ingawa mapigano yamesimama kwa muda, kombora hili linaonekana kuwa sehemu muhimu ya nguvu ya Iran.
Walinda Mapinduzi wa Iran wamesema kuwa mashambulizi ya Jumatano ya wiki iliypita yalifanywa kama sehemu ya "Operesheni Ahadi ya Kweli 3."

Taarifa iliyotolewa na Walinda Mapinduzi ilisema kwamba "operesheni ya 12 ya kulipiza kisasi ya Operesheni Ahadi ya Kweli 3 imezinduliwa kwa kombora zito sana la masafa marefu la Sajil la hatua mbili." Taarifa hiyo, ikielezea sifa za kombora hili, inadai kwamba Sajil ni mojawapo ya silaha zenye nguvu na sahihi zaidi za kimkakati za Iran, zenye uwezo wa kuharibu malengo muhimu ya adui.

Nguvu ya Kombora la Sajil​

a

Chanzo cha picha: Getty Images

Maelezo ya picha,Kombora la Sajil lina urefu wa takriban mita 18 nalinalotumia mafuta, jambo linalolifanya kuwa hatari.

Sajil ni kombora la balistiki la masafa ya kati lenye uwezo wa kufikia maeneo lengwa hadi kilomita 2,000. Kwa masafa haya, kombora hili linaweza kulenga Mashariki yote ya Kati, ikiwemo Israel, kusini mashariki mwa Ulaya, na sehemu za Asia ya Kati, likirushwa kutoka Iran. Ikiwa litarushwa kutoka mji wa Natanz nchini Iran, linaweza kufika jiji la Tel Aviv nchini Israel kwa dakika saba tu.
 
Mimi ninachotaka walifyatue tu , sijui wanajishauri kitu gani ? Ningekua hapo iran kitengo cha kuyafyatua nisingetoa kidole kwenye kidude cha kuyafyatua mpaka mamapapai ya kizayuni niyamalize.
Hayamaliziki kizembe hivyo mkuu
 
Sajil-2: Kombora hatari la Iran linalofika Israel kwa 'dakika 7'​

Usomaji maandishi tu kupunguza gharama za data
a

Chanzo cha picha,Getty Images
Maelezo ya picha,Jaribio la kwanza la mafanikio la kombora hili lilifanyika mwaka 2008
Saa 1 iliyopita
Mzozo wa hivi karibuni wa kijeshi kati ya Israel na Iran umekuwa jaribio la uwezo wa mapigano wa nchi zote mbili, pamoja na silaha zao.
Wakati Iran ilipoishambulia tena Israel wiki moja na nusu iliyopita, ilidai kwa mara ya kwanza kwamba kombora la Sajil-2 la Iran lilitumika katika shambulio hilo. Hata hivyo, Israel inadai kuwa jeshi lake lilizuia shambulio la kombora la Sajil na kulinasua kwa mafanikio kwa msaada wa mfumo wa ulinzi.
Ingawa mapigano yamesimama kwa muda, kombora hili linaonekana kuwa sehemu muhimu ya nguvu ya Iran.
Walinda Mapinduzi wa Iran wamesema kuwa mashambulizi ya Jumatano ya wiki iliypita yalifanywa kama sehemu ya "Operesheni Ahadi ya Kweli 3." Taarifa iliyotolewa na Walinda Mapinduzi ilisema kwamba "operesheni ya 12 ya kulipiza kisasi ya Operesheni Ahadi ya Kweli 3 imezinduliwa kwa kombora zito sana la masafa marefu la Sajil la hatua mbili." Taarifa hiyo, ikielezea sifa za kombora hili, inadai kwamba Sajil ni mojawapo ya silaha zenye nguvu na sahihi zaidi za kimkakati za Iran, zenye uwezo wa kuharibu malengo muhimu ya adui.
Matangazo

Nguvu ya Kombora la Sajil​

a

Chanzo cha picha,Getty Images
Maelezo ya picha,Kombora la Sajil lina urefu wa takriban mita 18 nalinalotumia mafuta, jambo linalolifanya kuwa hatari

Mimi mkristo lakini haya mazayuni siyatetei hata kidogo
 
Mimi ninachotaka walifyatue tu , sijui wanajishauri kitu gani ? Ningekua hapo iran kitengo cha kuyafyatua nisingetoa kidole kwenye kidude cha kuyafyatua mpaka mamapapai ya kizayuni niyamalize.
Mzee yakiisha wao watambonda Hadi abaki jivu. Alivyogundua hivyo akàanza kurusha KWA kubajeti
 
Sajil-2: Kombora hatari la Iran linalofika Israel kwa 'dakika 7'​

Usomaji maandishi tu kupunguza gharama za data
a

Chanzo cha picha,Getty Images
Maelezo ya picha,Jaribio la kwanza la mafanikio la kombora hili lilifanyika mwaka 2008
Saa 1 iliyopita
Mzozo wa hivi karibuni wa kijeshi kati ya Israel na Iran umekuwa jaribio la uwezo wa mapigano wa nchi zote mbili, pamoja na silaha zao.
Wakati Iran ilipoishambulia tena Israel wiki moja na nusu iliyopita, ilidai kwa mara ya kwanza kwamba kombora la Sajil-2 la Iran lilitumika katika shambulio hilo. Hata hivyo, Israel inadai kuwa jeshi lake lilizuia shambulio la kombora la Sajil na kulinasua kwa mafanikio kwa msaada wa mfumo wa ulinzi.
Ingawa mapigano yamesimama kwa muda, kombora hili linaonekana kuwa sehemu muhimu ya nguvu ya Iran.
Walinda Mapinduzi wa Iran wamesema kuwa mashambulizi ya Jumatano ya wiki iliypita yalifanywa kama sehemu ya "Operesheni Ahadi ya Kweli 3." Taarifa iliyotolewa na Walinda Mapinduzi ilisema kwamba "operesheni ya 12 ya kulipiza kisasi ya Operesheni Ahadi ya Kweli 3 imezinduliwa kwa kombora zito sana la masafa marefu la Sajil la hatua mbili." Taarifa hiyo, ikielezea sifa za kombora hili, inadai kwamba Sajil ni mojawapo ya silaha zenye nguvu na sahihi zaidi za kimkakati za Iran, zenye uwezo wa kuharibu malengo muhimu ya adui.
Matangazo

Nguvu ya Kombora la Sajil​

a

Chanzo cha picha,Getty Images
Maelezo ya picha,Kombora la Sajil lina urefu wa takriban mita 18 nalinalotumia mafuta, jambo linalolifanya kuwa hatari
Sajil ni kombora la balistiki la masafa ya kati lenye uwezo wa kufikia maeneo lengwa hadi kilomita 2,000. Kwa masafa haya, kombora hili linaweza kulenga Mashariki yote ya Kati, ikiwemo Israel, kusini mashariki mwa Ulaya, na sehemu za Asia ya Kati, likirushwa kutoka Iran. Ikiwa litarushwa kutoka mji wa Natanz nchini Iran, linaweza kufika jiji la Tel Aviv nchini Israel kwa dakika saba tu.
Likiwa linaenda nchi nyingine linatumia sekunde ngapi?
NB; Ndiyo maana mnapigika kwa kuiwaza Israel tu.
 
1751007082412.jpeg

Civilizations That Changed Their Names
1. Mesopotamia to Iraq
Historical Background:
Mesopotamia, often referred to as the "Cradle of Civilization," is located between the Tigris and Euphrates rivers in what is now Iraq. The area was home to some of the earliest human civilizations, including the Sumerian, Akkadian, Babylonian, and Assyrian. The region is known for its development of writing, urbanization (early cities), and complex societies. Over time, the region became part of various polities, including the Persian Empire and later the Islamic Caliphate. The name "Iraq" began to be used in the 6th century during the Sassanian Empire, and became the official name of the modern country after the collapse of the Ottoman Empire in the early 20th century.

2. Indus Valley to Pakistan
Historical Background:
The Indus Valley Civilization was one of the world's earliest urban cultures, flourishing around 2600–1900 BCE in what is now Pakistan and northwestern India. Known for its advanced cities such as Mohenjo-Daro and Harappa, this civilization developed early writing systems, architecture, and social organization. After its collapse, the region was ruled by various kingdoms and empires, including the Mauryan and Gupta empires, and then by the Islamic Caliphate. In 1947, after the British left India, the region became an independent country called Pakistan, reflecting the nation’s Islamic identity.

3. The Roman Empire Becomes Italy
Historical Background:
The Roman Empire, which reached its peak in 117 AD, encompassed much of Europe, North Africa, and the Middle East. The city of Rome was the center of this power, leaving behind a vast legacy of law, government, architecture, and language. After the Western Roman Empire collapsed in 476 AD, the region was divided into many small kingdoms. The modern country of Italy was reunited in the 19th century, but its Roman heritage remains an important part of its culture and national identity.

4. Persia becomes Iran
Historical Background:
Persia, known for its long history of Achaemenid, Parthian, and Sassanian rule, was one of the most important ancient civilizations, making major contributions to the arts, sciences, and government. The name "Persia" was used by Westerners for centuries, derived from the region "Pars." However, the original name used by its people was "Iran," meaning "Land of the Aryans." In 1935, Reza Shah asked the international community to use the name "Iran," to match the local name that had been used for thousands of years.
thanks for the thumbs up and shernya
 
Likiwa linaenda nchi nyingine linatumia sekunde ngapi?
NB; Ndiyo maana mnapigika kwa kuiwaza Israel tu.
Hii habari wameweka BBC mimi nimecopy tu mkuu wangu usinikasirikie... Wayahudi wenyewe wanalalamika wakiingia chooni ayatollaah akibonyeza batan hawapati hata muda wa kutawaza 😁
 
Israel wasingeomba amani hadi leo wangekua wameshafanyiwa majaribio ya makombora mapya zaida ya 30 ambayo hawajawahi kuyaona, hii haikua vita kwa Iran ilikua ni sehemu ya kujaribu makombora yake na yamefanikiwa kuivunjavunja Tel Aviv
 
Back
Top Bottom