Lijue Kabila la Waluguru na utamaduni wao

Wazeru na wanoge siyo koo moja? ...
Wazeru na wanoge ni koo tofauti, kina kinoge ndio hao kina kibua....kwa wanaume wanaitwa kina kobelo,au kina belege. Ila kuhusu koo za wazeru sipo deep kivile.., yaweza kuwa hapo zamani zilikuwa moja. Ila kwa sasa huwa naonamara nyingi zinatofautishwa
 
Kwa nini mila zenu ukioa unapewa kiwanja ukweni ujenge uishi na mkeo? Na wakati mwingine unaweza hata kuishi hapo hapo kwa wakwe na mkeo? Nimeyashuhudia haya.
 
Kwa nini mila zenu ukioa unapewa kiwanja ukweni ujenge uishi na mkeo? Na wakati mwingine unaweza hata kuishi hapo hapo kwa wakwe na mkeo? Nimeyashuhudia haya.
Hapo ndugu sifahamu kwa sababu maisha ya kijijini sijaishi...nimeishi sana moro mjini na pia daresalama, kwahiyo kuhusu hilo sija experience huku mjini. Kwahiyo siwezi kukujibu nisichokijua, nikipata majibu nitakujibu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom