Lijuakali aagiza polisi wamkamate Godbless Lema kwa uchochezi

DC kabla ya suspect kuwa arrested ni LAZIMA awe na docket police, DC nenda kwanza kafungue kesi police ili uchunguzi ufanyike, kama kuna kesi ya kujibu then ukamataji ndio utafanyika,upumbavu wa DC
 
Mpina alieagiza Mwigulu Mbarawa na Bossi wa Yepi Merkezi wakamatwe mbona amepuuzwa halafu mnakomaa na Nabii Lema?
 
DC kabla ya suspect kuwa arrested ni LAZIMA awe na docket police, DC nenda kwanza kafungue kesi police ili uchunguzi ufanyike, kama kuna kesi ya kujibu then ukamataji ndio utafanyika,upumbavu wa DC
Hahaha dc wa mchongo
 
Hahaha kwanini asimfungulie mashitaka kwanza kama kuna kosa akalitenda? kisha mahakama itampa taarifa ikiona anakosa la kujibu.
Kila mtu ana mamlaka ya kutuma polisi kukamata watu nchi hii.
 
DC wa Nkasi ameagiza vyombo kumsaka na kimtia nguvuni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chadema Godbless Lema Kwa kufanya Uchochezi akiwa kwenye mikutano ya Hadhara Wilayani Nkasi.

Naunga mkono wito Kwa sababu badala ya kufanya siasa wao wanafanya Uchochezi wa kuvunja amani ya Nchi.Na wale ambao wataendelea kufanya Uchochezi wapigwe marufuku kupanda majukwaani as specific individuals.


View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1721953359471534242?t=cja3FsCVqhEU4Y2d-5s2bw&s=19
 
Na ashughulikiwe barabara akitibitika na uovu huo....
Aman na utulivu ni jambo la msingi sana kuamua vitu kwa njia ya ubabe ni sawa na kuvuta fegi sheli
 

Attachments

  • haki na aman.jpg
    122.3 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…