dawa yake kumuachia siku moja afanye hadi akojoe povu, atakoma
inategemea .......
Hadi wafikie kuoana huyo dada alikua hajamshtukia?
wewe Ngongo itabidi uniambie unaishi wapi?
kuna kesi kama hiyo nilipigiwa simu na ndugu zangu, kuna binti ya kakangu kiukoo aliolewa na kijana ambaye naye alizaa sina uhakika watoto wangapi kabla hajaoa. huyo kijana anapenda hiyo mchezo balaa. yaani akirudi home hata akikuta mkewe anasonga ugali anamwambia aipue kwanza wanaingia room kuendelea na shughuli, yaani kwa ufupi ni majanga. Binti sasa akaanza kuumwa, anaumwa sana na kapungua sana, wakampeleka hospital. Doctor anafahamiana na dadangu ambaye shangazi wa huyo binti akamwambia jamani mtoeni huyu mtoto kwa huyo kaka, atakufa, ndo kupewa story.
kuna watu wa hivyo, sijui wagonjwa!

labda tiba itamsaidia, ingawa sijui..... yabda ya kwa MziziMkavu......Ha ha ha FP baada ya mke kueleza kikao kero zake wajumbe wakamuuliza mume kama hizo tuhuma ni kweli au lah,kwa mshangao jamaa likakubali bila kupepesa macho.Mwenyekiti akatoa ushauri kwakuwa wanandoa ni wagalatia ni kinyume cha sheria na taratibu za kanisa kumruhusu mume kuoa mwanamke mwingine ili kupunguza mzigo aliokuwa akipata mke.Kikao kikashauri mwanaume atafute msaada wa kitabibu.
yaani huyo nikipewa mimi, wala sitasubiri kikao cha shangazi wala balaza la Walei.......hii dunia ina majanga mengi aisee, hata ili nalo ni janga. Mwe! :yell: