Ligi Kuu Vodacom: Leo tar 22/2/2015

Kutokana
na kiwango kizuri cha yanga kwa sasa leo ni ushindi tu na kwa ubovu wa simba ni kupigwa tu na stend united



Yaani mpaka sasa 2015 bado una akili ya usimba na Yanga? Mashabiki wa mpira Tanzania inabidi muone mbele.....it is because of you mpira wa Tanzania hauna tija.
 
Mikia mikuuuubwa,hakuna lolote,kazi majungu tu,watani yanga hongereni sana,mnapigana kiume sana,kila la kheri mechi za afrika,waacheni mikia ilumbane yenyewe kwa wenyewe,nyie songeni front
 
10615561_886987941343740_6562730374412240728_n.jpg
 
INANIUMA SANA SIMBA NA YANGA ZINAENDA UELEKEO TOFAUTI.
Chama langu linaenda huku, Ndala wanaenda huku.
Ngoja niendelee na 'likizo' yangu ya kutoingia humu.
 
Naipenda yanga mwana wa jangwanii uuuuuhhh!!!oyooooioiyooooyooooo oyoooooo oyooooooyooooo nampenda msuva mtoto wa jangwaniiiiii!!!!!nampenda ngasa mtoto wa jangwaniiiiii oyooooooooo oyoyoooooo oyoooyooooooooo!!!!!!!
 
Back
Top Bottom