Ligi Kuu Vodacom: Leo tar 22/2/2015

INANIUMA SANA SIMBA NA YANGA ZINAENDA UELEKEO TOFAUTI.
Chama langu linaenda huku, Ndala wanaenda huku.
Ngoja niendelee na 'likizo' yangu ya kutoingia humu.

Pole sana Mkuu!!!tusubiri bonanza la TASWA linaanza wiki ijayo nafikiri watatualika tuwaonyeshe kazi.
 
imagejpeg


Sisi ndo Stand United CHAMA la Wana!! Tumechinja mnyama Kambarage! Na tunabaki Ligi Kuu tuwafundishe Mpira wale Waruga ruga wa Maganzo!
CC. Masuke , Makoye Matale , Amavubi na wengine wengi
Yes! Yes! Yes! Yes! Yes?
 
Last edited by a moderator:
Naipenda yanga mwana wa jangwanii uuuuuhhh!!!oyooooioiyooooyooooo oyoooooo oyooooooyooooo nampenda msuva mtoto wa jangwaniiiiii!!!!!nampenda ngasa mtoto wa jangwaniiiiii oyooooooooo oyoyoooooo oyoooyooooooooo!!!!!!!

Hii sasa sifa! kila siku unafunga tu.
 
Unaweza kusema sasa Timu ya Yanga ni kama inataka sifa baada ya
Kuikong'ota timu ya Mbeya City magoli 3 kwa 1 mbele ya maelfu ya mashabiki
wake waliokuwa wakiongozwa na kiongozi wa Chadema Freeman Mbowe na mbunge wa
Mbeya mjini Joseph Mbilinyi.

Yanga ambayo Alhamis waliifunga Timu ya Prison ya Mbeya nayo kwa magoli 3 kwa bila,
ni kama ilikuwa imekwenda mkoa wa Mbeya kufundisha soka kwa timu za mkoa huo kwa jinsi
ilivyozihenyesha timu hizo pamoja na wingi wa mashabiki waliojitokeza kuzishangilia timu zao.

Pamoja na viongozi hao wa Chadema kusaidia kuitia moyo timu ya Mbeya City lakini haikusaidia chochote
kuepuka kipigo kutoka kwa timu ya wananchi Yanga. Magoli ya Yanga yalifungwa na Msuva, Ngasa na Tambwe 'Falcao'.

Mbali na soka tamu waliloonesha Yanga, kingine kilichonogesha ni namna walivyoshangilia magoli yao kwa
staili ya kipekee. Goli la pili alilofunga Ngasa, kulitolewa 'shoo' ya 'ngumi' baina mfungaji Ngasa na Tegete
wakitaka kupigana huku Msuva akiwa anawaamulia. Kitu ambacho kilinogesha utamu wa kushangilia bao hilo.

Aidha baada ya goli la tatu kufungwa na Tambwe, Ngasa 'alipora' Daftari na kalamu ya mwandishi na kwenda kufanya mahojiano na mfungaji wa bao la tatu Tambwe 'Falcao' kitu kilichofanya washabiki walipuke zaidi kwa furaha.

Yanga jana wamedhihirisha mpira sio siasa, bali ni uwezo na kuujua. Hata ukimleta rais ashangilie kama hamjui hamjui tu.

Yanga hii sasa ni sifa. Ni vipigo kwa kila atakaye kuja mbele yetu.
Sijapata taarifa ya matokeo ya mikia, vipi kampiga Stand United, mwenye matokeo anijuze
 
Msimamo wa ligi unasemaje ..? Leteni picha tafadhali.

Mambo jilia!
Mambo yako hapa!
Mihayo yiyaha!
Issues are here!

Pos TeamPldWTLGoalsDiffPts
1•
thumb_Yanga.jpg
Young Africans15942211331
2•
thumb_Azam_FC_Club_Logo.jpg
Azam15762221027
3•
thumb_0cd88-kagera.png
Kagera Sugar1767413225
4•
thumb_simba.jpg
Simba1548315320
5•
thumb_Ruvu-Shooting.png
Ruvu Shooting1555510-120
6•
thumb_polisi_morogoro.png
Polisi Morogoro1748512-220
7•
thumb_mtibwa.png
Mtibwa Sugar1547415019
8•
thumb_a43e3-ruvu-star.png
JKT Ruvu1554614-119
9•
thumb_699ee-coastal.png
Coastal Union1647510019
10•
thumb_Ndanda%20fc%20logo.jpg
Ndanda1654714-419
11↑
thumb_Stand%20United.JPG
Stand United1646614-418
12•
thumb_mgambo.png
Mgambo JKT145278-717
13↓
thumb_Mbeya%20City%20logo.jpg
Mbeya City1545610-417
14•
thumb_prisons.png
Prisons1519510-512
 
Hii sasa sifa! kila siku unafunga tu.
Hahaaaa nilijua umekasirikaa 3 nnkumbekufunga oyoyoyoyoooooooo nampenda totafrcan mtoto was jangwaniiii mtakoma mwakaniii hukuu tunamadogo Toto mnaakumbuka kuliaa kuna African sport yatanga weeee
 
Jamani wenendo wa Simba kwa sasa uko namna hii kwa kuzingatia matokeo ya jana ambapo walipoteza;

Next Match: DRAW
Match after next: WIN
Third Match:LOSE
 
Hivi mashabiki wa Simba sports club wanajisikiaje wanapoona yanga inatoa burudani hii...?

Kwani mkishinda si mfurahi nyie mkuu....mlicheza na simba au mbeya city?....subirini mechi tukutane mtufunge ndio mnaweza kuiongelea simba.
 
Mkuu Pdidy mikiaaaaaaaaaaahaooooooooowamekimbiajukwaahawanachaotenamaanamanenoyoteyauteteziwameyatoahapajukwaanihawaoniwaandikenini tenaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!Haooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!

Mpwatuwawekeeeee jukwaaalao hiliilakushare awaliwezi wazo tu embukkkokokotoaaa
 
Back
Top Bottom