Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 18,931
- 13,971
Asante sana Yanga kwa Kunipa raha, Ngoja nirudi jukwaa la presha.
wakikuzingua huko kwenye pressure Uwe unarudi unachungulia matokeo ya leo unapata nguvu mpya!
Asante sana Yanga kwa Kunipa raha, Ngoja nirudi jukwaa la presha.
yanga haina uwezo Wa kuifunga simba.hata simba iwe mbovu vipiWe haya, wakati ukifika hutoyasema haya.
ndio maana mi naona bora tufungwe mechi zote tu.
yanga haina uwezo Wa kuifunga simba.hata simba iwe mbovu vipi
Ngapi ngapi.
Hahahaaa, mbona juzi mlivyofunga hukusema hivi?
Ngapi ngapi.
Nashukuru kwa ushauri mkuu ,maana topic za mle zinachangia watu kupungua umri wa kuishi.wakikuzingua huko kwenye pressure Uwe unarudi unachungulia matokeo ya leo unapata nguvu mpya!
fuatilia kauli zangu.Mara zote naombea simba itatue tatizo la msingi.na hadi kukubali kulitatua lazima tufungwe kwanza.kimsingi simba imeamua kuwa hivyo kwa sababu ya migogoro
yanga haina uwezo Wa kuifunga simba.hata simba iwe mbovu vipi
Sawaka Ng'wanagandila nisanya limakobha nduhu ukushoka nazumalaga, kamuli nalindebha...
Sungwa nyanyika, u obhuta bhukali atazumalaga bhuli kwenye uko nupindila; nushindikaga ningi, Ing'wadubhi nu kwene nunshindika ong'wangalula na ha Masengwa nushindika nang'hwe uong'wamanengelo, nibhuge na nani? ...
Ng'wabheja sana Stand United FC.
CC. Masuke: Shangilia timu ya nyumbani imetakata!
yanga haina uwezo Wa kuifunga simba.hata simba iwe mbovu vipi
Hahahaaa,kuna jamaa aliwahi kusimama kitandani usiku kucha leo sijui atafanya nini Amavubi