Ligi Kuu Vodacom: Leo, 19 Februari 2015

Siku nyingine utumie tools ambazo ziko hapo juu.

NaOH + HCl = NaCl + H[SUB]2[/SUB]O

Mkuu natumia simu ya Mchina, angalia hapo chini hata signature yangu haionekani, ningekuwa natumia Computer kila kitu kingekuwa safi. Shukrani kwa ushauri wako Mkuu. Chemistry nilikuwa naipenda sana enzi zile nikiwa sekondari.
 
Wacha washuke daraja tu hao 2ajela jela. Wanyakyusa wana jeuri kweli. Bora maji mani yetu imepanda daraja. Watakomaje!

Mkuu mbona hapa kama unataka kuingiza chembechembe za siasa? Naona unaanzia mbali.
 
Yanga basi watu wamewehuka tayari please, acheni hii dozi inatosha.
Watu watakimbia jukwaa, leo wako wapole sana nahisi wanazimia zimia huko walipo.
Yanga ninavyoipenda nitakunywa sumu juu yake. hahahahahaaaa
 
Back
Top Bottom